Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Wakuu kuna ndugu yangu amepata tatizo la kuvimba sehemu mbali mbali za viungo vya mwili. Baadhi ya vidole, magotini na cha ajabu uvimbe unahama mara Kwa mara.
Akivimba goti la kulia, anavimba na mkono wa kushoto. Akipona uvimbe unahama,sasa ni mwezi atembei vizuri. Alitumia dawa za hospital lakini bado, na sasa anatumia miti shamba,uvimbe umepungua lakini baadhi ya vidole bado vimevimba na mguu wa kushoto unamuuma sana
Tunamshauri aende akacheki vipimo lakini hataki anasema karogwa. Je huu ni ugonjwa gani?