Doctor wa macho .Msaada please

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Hello ndugu zangu wa JF .Naombeni msaada please. Jicho langu la upande wa kulia halioni vizuri kama ukungu Flani hivi lakini la upande wa kushoto liko sawa kabisa. Naombeni ushaurii kwa wale Dr wa macho please.
Have a good day .
 
Sio daktari ila naweza kushauri.

Ukungu umeanza leo leo, au ulianza siku mbili tatu?

Kama ni leo leo, basi inawezekana ulilala vibaya au inawezekana pia una infection.

Lakini pia kama unaona ukungu na vitu kama vyeusi vinaelea, basi nashauri saa kumi na moja asubuhi uwe umefika CCBRT ili uhudumiwe kesho hiyo hiyo, unless kama utalipia fast track.

Lakini pia, ushauri wa hapa JF huwa unafaa kama unaomba second opinion na sio ili utibiwe. Hospitali ndiyo sehemu sahihi.
 
Asante sana mkuu ,ni siku nyingi kidogo umeanza mkuu .Hamna vitu vyeusi ila ni ukungu tuu mkuu
 
Back
Top Bottom