Afanye mazoezi, anywe maji mengi, tumia matunda kama vile matikiti ni dawa nzuri, punguza vyakula vyenye mafuta au wanga kupita kiasi kwani wanga ikizidi bado mwili huibadilisha na kuwa mafuta(fatty acid synthesis)Mkuu fanya mazoezi tena si kwa hiari bali zaidi ya kujitoa.
Si kila kitu ni kutumia dawa