Habarini wakuu,
Nimepata tatzo hapa, kwa bahati mbaya mke, amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani na usoni, ndio gafla ameanza kulia.
Tumejaribu muogesha sana na maji...
Ndugu zangu nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la mkojo kutoka kidogo kidogo yaani kila nikienda chooni mkojo hauishi. Nikaenda hospitali ya rufaa nikapimwa wakanikuta nina UTI sugu, nikaandikiwa...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26 sasa. Toka nianze kupata period haijawahi kutokea nikakosa period on time. Ila this time imekuwa tofauti. Ni miezi miwili toka nisex na mwezi uliopita nilipata...
Habari za wakati huu wapenzi wa JF,
Naombeni ushauri wenu sababu nina msichana wangu (mpenzi wangu wa kike) amekuwa akipata maumivu kwenye ziwa lake la upande wa kulia na ameenda hospitali...
Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi...
Salaaaam jf baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini...
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini...ndio majukumu au nini hii.....
Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
Habarin wakuu,
Nimepata tatzo hapa,kwa bahat mbaya mke,amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani,na usoni,ndio gafla ameanza kulia, tumejaribu muogesha sana na maji ndio...
Kitunguu maji hupikwa kama mboga na hujulikana kama ni aina moja wapo ya kiungo muhimu katika mapishi. Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu...
Je ukiwa ICU....
Unaruhusiwa kuonana na Watu mara kwa mara?
Unaruhusiwa kupiga stori za Kufikirisha na Watu?
Unaruhusiwa kuzungumza na Watu na Kucheka sana?
Unaruhusiwa hata Kujinyoosha na...
Kuna uwezekano wowote mwanamke mjamzito kupoteza hamu ya tendo na akawa hana hata hisia? Hii imenitokea kwa wife ana preg ya karibu miezi mitatu hivi na tangu ameipata nimepigwa kibuti yaan...
Wanawake wavaao suruali watahadharishwa
na Esther Mbussi
WANAWAKE wanaovaa suruali aina ya jinzi na nguo za kubana, wako kwenye hatari ya kupata magonjwa hatari pamoja na...
BMI au Body Mass Index nia njia inayotumiwa kupima uzito wa mwili ukilinganishwa na urefu. Ingawa kipimo hicho hakionyeshi kiwango cha mafuta mwilini moja kwa moja lakini kinaonyesha kiwango cha...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Utawezaje kugundua kama shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba. Chukua besen au ndoo ya maji.
Piga nyeto au fanya ujuavyo shahawa zako zitoke alafu...
Kimengenyo (enzyme) ambacho ni protini aina ya CYP2E1 kimegundulika kuwa ndio chanzo kinachochangia wanawake kupata saratani ya matiti kwa wanawake wanaotumia vilevi. Kwa muda mrefu wanasayansi...
Ni mara nyingi hutokea mtu akala chakula fulani na yakatokea mambo mawili mabaya, kutapika au kuharisha ( japo pia sio lazima kutokea).
Mtu inapotokea amekula tu halafu akatapika, mara nyingi...