Mwenzenu kuna kitu kinaniuma lakini sijui ni nini, leo ni weak ya pili sasa, yaani kifuani katikati ya mapafu nasikia kama kichomi flani hivi.
Sijawahi kupata tatizo hilo tangu nizaliwe. Sasa...
Ndugu zanguni wana jukwaa poleni na mishughuliko ya mwanzo wa mwaka na hongereni kwa kuumaliza mwaka. Ndugu zanguni naomba ushauri, mtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje...
mtoto wangu Wa mwaka mmoja anakohoa sana hasa ikfka usku
nmempeleka hospital Mara kadhaa na amechomwa sana sndano lakn haponi!dozi ikiisha tu anaanza kukohoa,
naomben ushauri sijui nimpe dawa gan...
Nina vidonda kichwani miezi mitatu sasa nimemeza dawa Griseofulvin 1 kila siku kwa muda wa siku 15 ila bado tatizo ndo linazidi kuwa kubwa. Doctor ushauri wako please
Habari wakuu,
Nimekuwa nasumbuliwa sana na mishipa kuvuta na kuuma mpk mguu unacheza cheza kuanzia usawa wa tumbo mkono wa kulia yaani sina raha kabisa. Nimeenda hospitali nikapewa dawa lkn...
ELIMANATE THE PROCESSED FOODS
Eliminate the processed foods,the hybrid foods,the GMO foods,eat only organic fruits and Vegatables with seeds which has a positive and not a negative effect on your...
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana ,
Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama...
[emoji290] hakuna kitu cha thamani kama salamu, watu wengi sana mnapuuza salamu za mitandaoni mkizani ya kuwa nyie ni bora zaidi na hata hamna muda wa kupoteza, siku ya kukata roho utatamani Dunia...
Hapa ndipo uwezo wa Mungu unapoonekana. Sijawahi kusikia daktari yeyote duniani akielezea kinga ya mwili aliyonayo mwendawazimu. Kwanini ipo tofauti sana! Wanakula vyakula vya hatari sana havina...
Madaktari mliopo humu Jamvini tunaomba msaada wenu tafadhali kwamba Kitabibu au Kiafya Binadamu anatakiwa kutumia muda gani Kutoa Haja Kubwa yake pindi awapo Chooni kwani kuna mahala fulani...
Habari wadau wa jf doctor
Naombeni msaada kwani nakata tamaa kabisa ya kupata mtoto baada ya kusimama kwa hedhi yangu ...iko hiv nilibeba mimba mwaka 2015 kwa bahati mbaya mimba ilivyofikisha...
Habarini wadau
Mke wangu ana ujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake ni kurukaruka tu tumboni kwa mama yake.
Je watalamu...
Poleni na kazi wanajamvi mimi shida yangu ni kwamba naumwa sana tumbo kwnye kitovu linavuta kama manati jamani nisaidieni korodani moja imepanda toka muda sasa na sometime nyngne huwa inapandag na...
Nitangulize salamu na heshima kwenu wana JF mimi ni mwanamme wa makamo
ilipofika mwaka 2016 mwezi wa 8 nilifanikiwa kuuaga ukapela ilipofika mwaka 2017 mwezi wa 7 nilijaaliwa kuitwa baba kwa Mara...