Neno Sex ni 'gender' ikimaanisha jinsia. Sexual act inamaana ya tendo la ndoa lenye kuhusisha jinsia mbili.
Wale wanaoenda zaidi na kufanya ile inaitwa kinyume na maumbile ni kosa kwa Mungu wao...
Nimeishi zaidi ya miaka 4 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi,ila tangu nilipopimwa,nimekuwa na amani sana moyoni,haswa pale nilipoambiwa afya yangu iko salama,sitasahau wasiwasi...
Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu.
Swali:
Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa...
Kumekuwa na matangazo mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ja uwepo wa dawa mbalimbali za kiasili zenye kuongeza umbile la ndonga.Binafsi nimewahi kutumia baadhi ya dawa lakini sioni matokeo...
Kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
Leo asubuhi kuna mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba mpaka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gani
Ushauri plz...
Habari wana Jf
Tatizo langu ngozi yangu ya uso inakuwa inajitengeneza vipele mpaka inafikia kama jipu na ukivishika unahisi kama vimetunga usaha ila avijitengenezi pakutokea inaweza ikakauka ila...
Nashindwa kuelewa,saivi kuna utaratibu wa kupimwa HIV kabla hata hujaenda maabara,nasikiasikia tu kuwa ni mwongozo wa serikali,je hii ni kweli,au ni huku tu nilipo mimi?
Msaada please!
Nina ndugu yangu hapa mke wake anaujauzito wa miezi 6 ila tatizo lake ni kuwa, anaona maruweruwe machoni pake si mchana wala usiku. Je ni nini tatizo?
Mimi nina ndugu yangu katokea jijini Dar kaja kuniona jijini mbeya lakini toka amefika baada tu yakukaa siku nne yalimuanza mafua mazito wakati mwingine ya maji maji pia kifua kina mbana na...
Napenda kuwa julisha wana JF kuwa nakaribisheni maswali mafupi mafupi yanayohusu tatizo lolote la kiafya.Maswali yote yatajibiwa mara moja kwa wiki iwe ni tatizo ulilonalo wewe binafsi au...
Kama kuna vitu vinaniondoa mchezoni wakati wa kugegedani ni hivi vitu vyeupe vinavyoonekana katika hatua za mwanzo wa show
Haki mimi hua nashindwa kuendelea maana havihamashishi kabisa...
Je, hii hali huletwa na nini na dawa yake ni nini? Ni nguvu za giza au ni hali ya kawaida tu kwa mwanamke yoyote? Au ni sababu ya vyakula nnavyotumia?
Ushauri please
Habari wana jamii, hongereni kwa majukumu,
Mimi ni mdada au wa miaka 34, nina watoto 3 ninahisi kama nina tatizo sasa hivi, ni kwamba wakati nikiwa msichana nilikuwa naloa sana ukeni, baadae...
Wadau habarini za masiku.
Naomba kufahamishwa mimi nimeamua kuanza program ya kupunguza mwili na nashkuru nafanikiwa kwa sababu nilikuwa na kilo kama 77 ila saivi nipo na kilo 70 na mwili bado...
Habarini JF,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe...
Wakuu,
nna dozi ambayo haifai kuchanganya na diclofenac, na natakiwa kuianza leo mchana, sasa jana mchana nlikunywa diclofenac pill moja, je mpk sasa itakua out of system ili nianze mchana huu...
Juzi nilifika Hospitali moja ya rufaa itwayo Ligula mkoani Mtwara kwa lengo la kumjulia hali mke wa ndugu yangu ambae alifanyiwa Operation week 1 baada ya kujifungua.
Nikiwa pale Hospitalini...
Naomba kujua kutoka kwa madaktari
1.nini sababu inayopelekea kupoteza hamu ya kula ya aina yoyote ya chakula ili hali unajihisi kuwa na afya tele (yaan haugui hata kidogo)
2.nini sababu...