Ni ugonjwa gani huu?

Ngemaita

Member
Nov 4, 2016
84
33
Dalili, nyayo za miguu zinauma, magoti yanauma, vidole kuhisi umefunga damu haipiti vinadunda, mishipa kuuma, kichwa kuuma, uvumbe kichwan kwenye kisogo, maumivu ya kifua, Homa, muwasho usononi, maumivu ya tezi na kuvimba, uchovu mwingi, hasira, moyo kupiga kwa nguvu, kikohozi kikavu, usingizi mwingi, JAMAN NISAIDIENI NI UGONJWA GANI?!
 
Hizo ni dalili za magonjwa mbalimbali na sidhani kama kuna mtu anaweza kusema direct kuwa ni ugonjwa fulani.

Chakukishauri kama unapata hali hizo ni vizuri ukawahi mapema kuonana na mtaalamu wa masuala ya afya ili achukue vipimo stahiki na kupata matibabu.
 
Vipimo inapatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo lakn kwenye vipimo vya computer imepatkana shida za mishipa kushindwa kupitisha damu na Maradhi tumbon
 
Dalili, nyayo za miguu zinauma, magoti yanauma, vidole kuhisi umefunga damu haipiti vinadunda, mishipa kuuma, kichwa kuuma, uvumbe kichwan kwenye kisogo, maumivu ya kifua, Homa, muwasho usononi, maumivu ya tezi na kuvimba, uchovu mwingi, hasira, moyo kupiga kwa nguvu, kikohozi kikavu, usingizi mwingi, JAMAN NISAIDIENI NI UGONJWA GANI?!
uchovu ujawahi pumzika
 
Vipimo inapatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo lakn kwenye vipimo vya computer imepatkana shida za mishipa kushindwa kupitisha damu na Maradhi tumbon
Hayo maradhi ni zaidi ya moja,na tiba ni zaidi ya moja pia.Fuata maelezo ya daktari wako.
 
tezi zipi zimevimba (taja sehem zote unahisi tezi zimevimba) vipi usiku jasho linakutokaa?? huo muwasho umeleta vipele?? vipi maumivu ya Joint yanatokea muda gani
 
Tezi za Taya na taya linauma pia na nyuma ya sikio la kushoto kwapsni na tezi za sehemu za siri, jasho linanitoka usiku, muwasho hauna vipere pia joint zinauma ndiyo, tumbo linajaa na kutuna na baadhi ya vyakula nikila linauma mfano maharage, limau, ndiz
 
Tezi za Taya na taya linauma pia na nyuma ya sikio la kushoto kwapsni na tezi za sehemu za siri, jasho linanitoka usiku, muwasho hauna vipere pia joint zinauma ndiyo, tumbo linajaa na kutuna na baadhi ya vyakula nikila linauma mfano maharage, limau, ndiz pia kupumua kwa shida mkuu mfano kwenye vumbi nahisi km nanigwa
 
Dalili, nyayo za miguu zinauma, magoti yanauma, vidole kuhisi umefunga damu haipiti vinadunda, mishipa kuuma, kichwa kuuma, uvumbe kichwan kwenye kisogo, maumivu ya kifua, Homa, muwasho usononi, maumivu ya tezi na kuvimba, uchovu mwingi, hasira, moyo kupiga kwa nguvu, kikohozi kikavu, usingizi mwingi, JAMAN NISAIDIENI NI UGONJWA GANI?!
Mmh magonjwa yote anaumwa MTU mmoja
 
Dalili, nyayo za miguu zinauma, magoti yanauma, vidole kuhisi umefunga damu haipiti vinadunda, mishipa kuuma, kichwa kuuma, uvumbe kichwan kwenye kisogo, maumivu ya kifua, Homa, muwasho usononi, maumivu ya tezi na kuvimba, uchovu mwingi, hasira, moyo kupiga kwa nguvu, kikohozi kikavu, usingizi mwingi, JAMAN NISAIDIENI NI UGONJWA GANI?!
Aisee kuna matatizo mengi sana hapo umuone doctor tena uende ufanye vipimo karibu vyote ikibidi hospital ya rufaa
 
Back
Top Bottom