Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu, Asubuhi ya leo nimeamka mwanajeshi wangu kasimama hatari, yaani anasimama then anapoa anasimama then anapoa. So mida hii huyu mwanajeshi amepoa kabisa ila nahisi maumivu makali kwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu Nahitaji msaada wenu hata kwa hili tatizo kuna mtoto wa dada yangu age 9 1/2...siku za karibuni aliwahi kusema huwa anajisikia baridi ya ghafla mwili mzima..na inakuja na kupotea...
1 Reactions
89 Replies
11K Views
Haya mpaka sasa ni Wangapi kwa Utafiti huu tayari tuna dalili zote zilizotukuka za Ugonjwa wa Saratani / Kansa ( Cancer ) ya Tumbo? Hivyo basi hapo hapo ulipo sasa hivi tena kama ukiwa upo katika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Jambo Tanzania, Naombeni msaada wa haraka wa kuelimishwa kuhusu HOMA YA MANJANO(Yellow Fever) Wakuu ktk pitapita zangu kwenye taasisi moja ya kutoa elimu(Shule)Nimekutana na mtoto mmoja ambaye...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Habar wana JF naomba kujua Mama mjamzito wa Mimba Changa kutokwa na Maji yenye Rangi kama njano..hiyo inaashiria Nini? Swali la Pili ! .....Nina Rafiki yangu mke wake Ni mjamzito, ambae...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Complete Guide Urine Therapy (Coen Van Der Kroon) Urine consists of 95% of water, 2.5% of urea and the remaining 2.5% is a mixture of minerals , salts, hormones and enzymes. Only urea , the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa jambo. Fulan
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi mke wangu ni mjamzito lakin siku mbili hizi anasumbuliwa na kuumwa kichwa. Naomba msaada tatizo hili hutokana na nini??? Nina imani nitapata jibu sahihi. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
24K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 sasa. Mnamo mwaka 2002 nilipokuwa form II nilianza kusikia kaharufu flani hivi kabaya kabaya kanatoka kwenye mwili wangu kaharufu ka uvundo sio uvundo mkojo sio mkojo...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari za muda marafiki,kuna haja ni share hii elimu ni nzuri na itakusaidia kwa kiasi fulani jinsi kama mgonjwa unapaswa kujua namna ya kujielezea kwa daktari ili upate tiba bora kwa mtoa huduma...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za weekend wakuu!! Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Naombeni msaada mm nikifanya mapenzi miguu inaniuma sana.sjajua hili tatizo linatokana na nini kwa anayejua kama ni ugonjwa nikatibiwe kabisa hili tatizo lisijirudie maana kuna muda hadi nahofia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KULA KUCHA. Tangu nimezaliwa na kukua nakula kucha zaidi ya miaka 30+ hii tabia inanitesa maana sijawahi kuwa huru na vidole vyangu. Kucha zangu muda wote ni mbaya na nang’ata mpaka vinapaki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu jf,,nilikuwa naomba msaada wa tiba wa haya magonjwa maana yananisumbua mwaka wa pili sasa nimeshatumia dawa za hospital na za kienyeji lakini bado
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Chitta And The Control Of Prana 1. Chitta is the Subconscious mind. It is the mind-stuff. It is the store-house of memory. Samskaras or impressions of actions are imbedded here. It is one...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari za mida hii wana jf wote. Kama kichwa cha habari kinavojielezea kuna dem nilimgegeda siku chache zilizopita ila akawa anahofia anaeza kua kwe siku za hatar nikamnunulia vidonge flan ivi...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Naomba msaada ninapokua nimelala kitanda Sasa inapotokea nimejigeuza nashikwa na vichomi vikali chini ya kitovu upande wa kulia, pili ni naumwa tena kichomi kikali Sana nyuma ya mgongo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth. To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ? Natambua Jf wanafiki na...
0 Reactions
15 Replies
15K Views
Back
Top Bottom