Utafiti: Ukiona unatoa hewa isiyo rafiki kimazingira ( Unajamba ) halafu hakuna harufu yoyote Kali / ya Kuudhi jua una Kansa ya Tumbo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Haya mpaka sasa ni Wangapi kwa Utafiti huu tayari tuna dalili zote zilizotukuka za Ugonjwa wa Saratani / Kansa ( Cancer ) ya Tumbo?

Hivyo basi hapo hapo ulipo sasa hivi tena kama ukiwa upo katika ' Kadamnasi ' ya Watu wengi ( Nyomi ) unaweza ukawatumia hao hao Watu waweze kujua kama una hii Kansa au hapana kwa kuwaomba tu Kistaarabu kabisa kwamba wakuvumilie Kidogo tu uwajambie ' mubashara ' ili kama wakiisikia harufu Kali ya ' mjambo ' wako basi ndiyo pona yako na jibu lako ' Kuntu ' kuwa huwa Saratani / Kansa ya Tumbo.

Naomba ambao mmeanza au mtalianza baadae hili zoezi basi mnipe mrejesho ili tujue ni wangapi Wagonjwa na wangapi ni wazima kabisa. Ukiona Unajamba halafu ' Ushuzi ' wako wala haunuki kabisa au walio jirani nawe ' hawakwaziki ' jua kabisa kwamba 99.9% una tatizo la Saratani / Kansa ya Tumbo hivyo muda wahi ukatibiwe ili wana JamiiForums wenzako tusikukose hapa katika Utiririkaji na Usererakaji wako.

Nawasilisha.
 
Du hatari sana na ile ya kusema kucha za vidole vya miguu kuwa na mstari mweusi nayo ni dalili za awali za saratani
 
Haya mpaka sasa ni Wangapi kwa Utafiti huu tayari tuna dalili zote zilizotukuka za Ugonjwa wa Saratani / Kansa ( Cancer ) ya Tumbo?

Hivyo basi hapo hapo ulipo sasa hivi tena kama ukiwa upo katika ' Kadamnasi ' ya Watu wengi ( Nyomi ) unaweza ukawatumia hao hao Watu waweze kujua kama una hii Kansa au hapana kwa kuwaomba tu Kistaarabu kabisa kwamba wakuvumilie Kidogo tu uwajambie ' mubashara ' ili kama wakiisikia harufu Kali ya ' mjambo ' wako basi ndiyo pona yako na jibu lako ' Kuntu ' kuwa huwa Saratani / Kansa ya Tumbo.

Naomba ambao mmeanza au mtalianza baadae hili zoezi basi mnipe mrejesho ili tujue ni wangapi Wagonjwa na wangapi ni wazima kabisa. Ukiona Unajamba halafu ' Ushuzi ' wako wala haunuki kabisa au walio jirani nawe ' hawakwaziki ' jua kabisa kwamba 99.9% una tatizo la Saratani / Kansa ya Tumbo hivyo muda wahi ukatibiwe ili wana JamiiForums wenzako tusikukose hapa katika Utiririkaji na Usererakaji wako.

Nawasilisha.
Nimeshaachia mkuu, niambieni kama mmepata hiyo harufu.
 
Kwa harufu aliyotoa Biraya basi hana kansa ya tumbo kuanzia yeye, ukoo wake, kizazi cha nne cha ukoo wake upande wa baba na mama na dunia nzima ukuwi
 
Mshenzi sana wewe, wengine kujamba mpaka tule magimbi, mayai, na maharagwe shuzi lake kama king'ora cha jela harufu sasa kama choo cha jela kinazibuliwa.
.
Kama ulikua umeshiba utajua tu asili ya njaa ni wapi
 
Haya mpaka sasa ni Wangapi kwa Utafiti huu tayari tuna dalili zote zilizotukuka za Ugonjwa wa Saratani / Kansa ( Cancer ) ya Tumbo?

Hivyo basi hapo hapo ulipo sasa hivi tena kama ukiwa upo katika ' Kadamnasi ' ya Watu wengi ( Nyomi ) unaweza ukawatumia hao hao Watu waweze kujua kama una hii Kansa au hapana kwa kuwaomba tu Kistaarabu kabisa kwamba wakuvumilie Kidogo tu uwajambie ' mubashara ' ili kama wakiisikia harufu Kali ya ' mjambo ' wako basi ndiyo pona yako na jibu lako ' Kuntu ' kuwa huwa Saratani / Kansa ya Tumbo.

Naomba ambao mmeanza au mtalianza baadae hili zoezi basi mnipe mrejesho ili tujue ni wangapi Wagonjwa na wangapi ni wazima kabisa. Ukiona Unajamba halafu ' Ushuzi ' wako wala haunuki kabisa au walio jirani nawe ' hawakwaziki ' jua kabisa kwamba 99.9% una tatizo la Saratani / Kansa ya Tumbo hivyo muda wahi ukatibiwe ili wana JamiiForums wenzako tusikukose hapa katika Utiririkaji na Usererakaji wako.

Nawasilisha.

Colon cancer
A more rare cause of smelly farts is colon cancer. When polyps or tumors form in the digestive tract, it can cause a partial bowel obstruction, which results in gas buildup and bloating.

If you begin to experience abnormal smelling gas and discomfort, and a change in diet or medication doesn’t affect your symptoms, call your doctor for full evaluation. They can determine whether a colonoscopy is warranted. Treatment for colon cancer varies based on the stage of cancer. It can include surgery to remove tumors and chemotherapy to kill cancer cells.
 
Back
Top Bottom