Habari zenu wanajamvi,
Naomba msaada wa kuujua ugonjwa wa mdudu wa kidole kiundani zaidi, Napenda nijue chanzo chake, matibabu yake na njia za kuepuka ugonjwa huu……!
Shukrani.
Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika
tishu hizo ( Tonsil)
Mabaki hayo...
•Taasisi ya Saratani Ocean ni hospital ya taifa kwa utoaji huduma za saratani hapa Tanzania.
•Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali...
Wakuu salama hapa,
Tangu mwezi wa 1 mwanzoni nilijiskia hali fulani ya kuumwa kichwa nikapima magonjwa mbalimbali hakuna tatizo.
Mdogo wangu akanishauri nipime presha kweli nikakuta nayo ipo...
Habarini wadau ,nilikuwa nimeenda kujisaidia haja ndogo sasa katika haraka haraka za Kuwai nikajibana na zipu ngozi ya chini ya uume na katika kutumia nguvu kutoa nikasababisha msuguano ambao...
Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu.
ASUBUHI (SAA 12- 1)
Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia...
Wadau salama?
Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake...
Mimi ni kijana umri miaka 20, nimekuwa nikipata changamoto ya kutoa majimaji ya sperm pindi nipo kwenye foreplay yani ile na kutomasa tomasa demu najikuta sperm zishaanza kuchuluzika au hata...
Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo...
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na...
IUFD Ni Nini?
IUFD ni kifupi cha Intrauterine Fetal Death, au kwa lugha rahisi, kifo cha mtoto tumboni kabla ya kuzaliwa. Hali hii hutokea pale mtoto anapofariki akiwa bado tumboni mwa mama baada...
Habari JF Doctor na wana jamii wote.
Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini...
Anorexia Nervosa Ni Nini?
Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni...
Habarini wanajukwaa!
Rejea kichwa cha habari hapo juu mm nikijana mpambanaji lakini hilisuala la matatizo ya tumbo linaninyima raha sana, nirudi kwenye maada mimi ninashida ya hao h pylori...
Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo...
Naanzisha huu uzi kuwasaidia wagonjwa watarajiwa wa Monkey poxy.
Ukiona dalili au homa za muda mfupi jitahidi sana ukague mwili wako ukiona kipele (nimeweka picha) mwoneshe daktari haraka sana...
Niaje wajuba!
Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje,
Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo...
Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika...
🩺 Elimu ya Afya Leo: Usawa wa Homoni kwa Mwanamke – Hatua ya Maisha na Afya ya Mzunguko wa Hedhi
📲 IG: @hillary_officialtz
❓ Ni Nini Hormonal Imbalance? Ni hali ambapo kiwango cha homoni mwilini...