Habari za muda Wana jf
Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate
Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto
Nina mtoto WA kike ana miezi 9
Tangu azaliwe analia muda wote hata...
Habari, nikiwa nasimamia ujenzi wa kanyumba kangu nikawa simwelewi fundi wangu mkuu.
Mara nyingi amekaa chini ya mti amewaachia kazi mafundi wasaidizi pamoja na vibarua.
Siku ya 3 ikabidi...
Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda...
Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima.
Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini...
Jamani mwanamke wangu nayetegemea kumuoa ana matatizo ya kukojoa kitandani na alishindwa kunambia hadi baadae alipoamua kufanya hivyo.
Naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia ili tuendelee na...
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloathiri wanaume wengi, mara nyingi bila wao kujua, hadi pale hali inapokuwa mbaya na kuanza kuathiri heshima na furaha ya ndoa. Kupitia dalili hizi...
Wakuu habarini,
Mimi siyo mtaalamu wa AFYA bali ni mdau tu wa Afya. Leo napenda kuwakumbusha ndugu zangu tuwe na utaratibu wa kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.
Ahsanteni natumai...
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha.
Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani twenty four hours na hili tatizo lilianza tangu nije hapa kwa wahindi maana nakaa...
Habari wana Jf, mke wangu ana ujauzito wa wiki nane Kwa mjini wa ultrasound, ila amekuwa akipitia kipindi kigumu Sana ikiwemo tumbo kuuma sana Jambo ambalo naona kuwa linaweza kuwa hatari kwake...
Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari…
Asubuhi Haianzi na Mkate Wala Chai ya Sukari…
Hiyo ni hatari kwa afya yako.
Asubuhi ya kweli inaanza na heshima kwa mwili wako — kumpa lishe sahihi...
Naamini umeishakutana na watu wasemao: “Mimi sipendi ndizi, sipendi dagaa, mimi sipendi parachichi, sitaki mboga fulani, sitaki kula chakula hiki wala kile, chakula changu ni chips mayai na soda.”...
Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe...
Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha.
Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi.
Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu...
Habari wanajamvi.
Kuna mama ana mtoto wa miezi 4 na amepatwa na hali ya ajabu maziwa ya kumnyonyesha mtoto yamekata ghafla.
Hii hali inasababishwa na kitu gani maziwa ya mama yakate ghafla?
Habari za jioni wakuu
Nilienda kituo cha afya nikaambiwa jino la juu ukitoa linaweza kusababisha kifo maana limeunganika na mishipa ya fahamu,naomba kujua kama kuna ukweli wa swala hili?
Pia...
faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na...