Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakin sijabahatika mtoto mimi na mke wangu.
Mwanzo mkewangu alikua na shida ya uvimbe tukafanya oparataion amekaa sawa kwamjibu wa madaktari sasa tumekua tukilima...
Wataalam wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) wanasema ushindi dhidi ya saratani ya mapafu, ini na koloni uko karibu sana.
Wataalam wanaamini kuwa ushindi juu ya saratani ya mapafu uko karibu...
Habarini za leo wana JF
Naombeni mnisaidie kunifahamisha, mtu akijifungua kwa operation ni baaada ya muda gani anaruhusiwa kufanya mapenzi?
Mimi nilijifungua kwa operation mwezi uliopita sasa...
Leo nimemsikia Dr akifafanua juu ya mathara yanayotokana na wapenzi kufanya oral sex,Dr alikuwa anahojiwa na kituo cha redio Clouds fm, Doctor alieleza ongezeko la saratani za midomo na koo hasa...
Ni mwaka wa 22 ninasumbuliwa na tumbo.
Mwanzoni ilikuwa ni mara Amiba, minyoo na kichocho cha tumbo! Kila nikitumia dawa napata nafuu kwa wiki moja au mbili kisha gwaride linaanza upya.
Mei...
Naomba kupewa ufahamu kuhusu kinyama kinachokwepo kwa nyuma kama mkia fulani hivi yaani kwenye njia ya kuelekea mkunduni (puru)
Kuna baadhi ya watu husema ukiwa ni mzazi (mwenye mtoto mchanga)...
habarin wana jf !
juzi juzi hapa jicho langu la kushoto lilikuwa likitoa matongo tongo sana wakat wa mchana kama siku mbili hivi baada ya hapo likaacha likaamia la kulia hii siku ya nne sasa kila...
Wataalamu wa #Afya wameifananisha Chanjo dhidi ya Magonjwa mbalimbali ni kama #Helmet anayovaa Dereva na Abiria wa Pikipiki.
Ufafanisho huo umemaanisha chanjo kama ya #COVID19 umetokana na ukweli...
Msaada jamani😒
Nina mtoto wa miezi 9 na week 3 sasa hawezi kaa kwa kujitegemea kwa muda mrefu akikaa kidogo anaanguka ijapokuwa yupo active kuanzia mikono kushika shika vtu na miguu kuitupa na...
Uwiano wa uzito wa mwili kulingana na urefu kitaalamu hujulikana kama BODY MASS INDEX (BMI)
Uwiano huu hupatikana kwa njia ya hisabati ambapo hugawanywa UZITO WA MWILI (KG) kwa kipeo cha pili cha...
Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema
Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo...
Kama heading inavyoeleza hapo juu,
Leo ikiwa ni siku ya 3,
Mwenetu amezaliwa na weeks 32/miezi 7 na kdg,
Physical yuko sawa, ana 3.2kg. Alipozaliwa tuu wakamuweka kwenye Mashine, baadae akaweza...
Jamani hili tatizo nimekuwa nikilisikia kwa watu lakini sijui chanzo naomba kujuzwa
===
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
Umeuliza swali zuri kwa ufupi hili jambo la utumbo kujikunja bado halina tips...
Typhoid au kwa kiwahili Homa ya matumbo ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu...
Hapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe...
1. The STOMACH
is injured when
you do not have
breakfast in the
morning.
2. The KIDNEYS
are injured when
you do not even
drink 10 glasses
of water in 24
hours.
3. GALLBLADDR
is injured when
you...