Kinyama kwa nyuma kabla ya puru

Kinyama kwa nyuma kabla ya puru

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,449
Naomba kupewa ufahamu kuhusu kinyama kinachokwepo kwa nyuma kama mkia fulani hivi yaani kwenye njia ya kuelekea mkunduni (puru)

Kuna baadhi ya watu husema ukiwa ni mzazi (mwenye mtoto mchanga) basi kama una hiyo kitu mtoto huyo atakuwa ni wa kulialia tu na kukondeana

Mke wangu anacho hicho kitu na kuna kipindi anasema kinauma halafu wakati wa kuuma kinakuwa kama kinavimba fulani

Cha kushangaza juzi ananambia na mtoto anacho tena jirani ndo amemshtua na kumwonesha, yeye siku zote hakuwahi kukikiona

Kitu hicho nilipomuoa nilichukulia kawaida tu na hata yeye mwenyewe nilikuwa nikimwambia una kitu fulani anachukulia kawaida tunacheka ila ni hivi karibuni tu ndo kimeanza kuwa na vipindi vya maumivu

Hapa nipo na utaratibu jumatatu niwapeleke hospital vikakatwe ila nikasema nipitie humu kwanza kupata uzoefu... je kuna uhusiano wowote nilichoandika na ujuacho wewe?
 
Mkuu usikate utatengeneza tatizo kubwa,ukikata utatibu tatizo Kwa nje ila ndani litakuepo.kuna jamaa angu alisaidiwa kienyeji na amepona kabisa .Nichek pm nikupe namba ya uyo tabibu na dawa zake zimekaguliwa na mganga mkuu wa serikali pia ni cheap sana
 
Hilo tatizo linaitwa hemorrhoids (Bawasiri) mara nyingi linaletwa na kutokula vyakula vyenye asili ya kambakamba( fibres) kama vile ndizi,mboga za majani n.k
Bawasiri ni common kwa wanawake wajawazito, kwa mtoto ni nadra sana.Nenda kanunue dawa inaitwa Daflon Tablets (500mg) anywe itamaliza hilo tatizo
 
Bawasiri sasa hivi ni common sana kwa sababu watu siku hizi wamekosa maarifa ya kula vyakula sahihi.Hata wewe jiandae kupata huo mkia kwa sababu ni bingwa wa kula vyakula vya hovyo kama vile wali,ugali wa sembe,pilau,nyama choma kwa bia na kadhalika.
 
Naomba kupewa ufahamu kuhusu kinyama kinachokwepo kwa nyuma kama mkia fulani hivi yaani kwenye njia ya kuelekea mkunduni (puru)

Kuna baadhi ya watu husema ukiwa ni mzazi (mwenye mtoto mchanga) basi kama una hiyo kitu mtoto huyo atakuwa ni wa kulialia tu na kukondeana

Mke wangu anacho hicho kitu na kuna kipindi anasema kinauma halafu wakati wa kuuma kinakuwa kama kinavimba fulani

Cha kushangaza juzi ananambia na mtoto anacho tena jirani ndo amemshtua na kumwonesha, yeye siku zote hakuwahi kukikiona

Kitu hicho nilipomuoa nilichukulia kawaida tu na hata yeye mwenyewe nilikuwa nikimwambia una kitu fulani anachukulia kawaida tunacheka ila ni hivi karibuni tu ndo kimeanza kuwa na vipindi vya maumivu

Hapa nipo na utaratibu jumatatu niwapeleke hospital vikakatwe ila nikasema nipitie humu kwanza kupata uzoefu... je kuna uhusiano wowote nilichoandika na ujuacho wewe?
Dawa nzuri IPO unapaka siku 3 -5 TU utapona haiumi Wala kuwasha mkuu
 
Bawasiri nikadhani ni ile ambayo inakuwa ni sehemu ya puru tu kumbe hata hii ni yenyewe duh! Kipo kando kabisa ya puru yaani mtu anakuwa ana kama mkia vile
 
Back
Top Bottom