riba
Member
- Dec 30, 2016
- 23
- 13
Uwiano wa uzito wa mwili kulingana na urefu kitaalamu hujulikana kama BODY MASS INDEX (BMI)
Uwiano huu hupatikana kwa njia ya hisabati ambapo hugawanywa UZITO WA MWILI (KG) kwa kipeo cha pili cha UREFU wa mwili Katika mita
BMI=uzito wa mwili/kipeo cha pili cha urefu
BMI husaidia kujua kama mtu ana uzito wa kawaida,mkubwa,au mdogo
Walio na uzito mdogo wana BMI pungufu ya 18.5 na uzito mkubwa ni 24.9
Uzito wa kawaida lazima uwe na BMI Kati ya (18.5-24.9)
Mtu mwenye BMI chini ya 18.5 kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo KIAFYA vile vile mtu mwenye BMI zaidi ya 24.9 ana matatizo kiafya.
By riba