Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie. Pia hospital ya uhakika wanayoweza kufanya huo upasuaji
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Should You Hold in Your Farts? Medically reviewed by Cynthia Taylor Chavoustie, MPAS, PA-C — Written by Erica Cirino on May 20, 2020 Is it bad or healthy? Side effects of holding it in...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Hope mko salama Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii. Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Wadau mimi ni mtumiaji sana wa Azam Energy drink ile ndogo ya 600. Kwa siku nakunywa ata 3 kuendelea..na nikiwa nafanya kazi nikinywa huwa najiskia fresh sana na uchovu unakata nasikia ina madhara...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Nilipata ajali miaka 4 iliyopita ya mguu sehemu ya goti ilipelekea ni fanyiwe upasuaji mkubwa maana na kumbuka nilipigwa nusu kaputi kwenye mida ya saa 1 asubuhi Ila kuja kuzinduka ulikuwa saa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, toka mwaka Jana nimekuwa nakabiliwa na tatizo la oxygen kuwa chini (circulating) kila nikienda hospitali nikipimwa iko 82 mpk naogopa Yani,nilikua naishi mkoa wa joto mwaka...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Benefits of Drinking Camel Milk Camel milk is extremely nutritious and absolutely safe for consumption. It is believed that people who drink camel milk on a regular basis are less prone to...
8 Reactions
43 Replies
31K Views
Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dawa gani inaweza kusaidia kupunguza mivumo ya sauti sikioni na kuongeza usikivu? NB: nina tatizo la usikivu almost mwaka wa tatu hali inazidi kuwa mbaya sana.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Historia inatuonesha kuwa ugonjwa wa UKIMWI uliingia katika nchi yetu mnamo mwishoni mwa miaka ya themanini na kushamiri mwanzoni mwa miaka ya tisini. Kipindi hicho ugonjwa huo ulikua ni hatari...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu habari, Ni mwaka wa pili sasa ninahangaika kutibu korodani bila ya mafanikio. Zimekuwa zikiuma ile staili ya siku za baridi au kama umesimamisha dudu halafu hukuipa haki yake(kufanya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Anae faham matibabu ya Syphilis anijulishe kama kuna additional drugs maana mimi nimeisha tumia Benzathine penicillin kuwatibu wagonjwa hasa hawa wa ANC imedunda, na wateja wengi unawachoma hiyo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu natumai mu wazima Dhumuni la posta ni kwamba Napata wasiwasi sana kutokana na changamoto ninayopitia Iko hv, kuna kitu kinaitwa ( POSTAL NASAL DRIP) hii ni ile hali ambapo unahisi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wanajf, nina mtoto ana miezi 7, lakini ukuaji wa kitovu chake unanichanganya, alivyozaliwa alikuwa na kitovu kidogo lakini kadri anavyokuwa naona kinaongezeka hususani akiwa anajikamua...
0 Reactions
30 Replies
19K Views
Stori kuhusu chumvi: Tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la damu, uvimbe, matatizo kwenye kibofu cha mkojo, matatizo ya moyo na orodha...
4 Reactions
15 Replies
27K Views
Zifuatazo ni njia 4 za kugundua kama mtoto ni wako ua kwa wanawake kugundua baba sahihi wa mtoto 1. SIKU YA KUPATA UJAUZITO Hi Mara nyingi huangaliwa kwanzia siku ya kwanza ya mzunguko wako wa...
1 Reactions
37 Replies
26K Views
Za jioni wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada kwa anayejua gharama na sehemu gani wanatoa hiyo huduma! Pia mawasiliano kama unayo ya huko wanakotoa hiyo huduma ! Natanguliza...
0 Reactions
86 Replies
32K Views
Wakuu habari za asubuhi? Ni muda wa miaka miwili sasa nimekuwa nikisumbuliwa na huu ugonjwa wa ngozi ujulikanao kitaalamu kama dermatiris au eczema. Nishaenda hospital zaidi ya mara tano na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nikiamka na kuanza kutembea au nikikaa muda mrefu na kuamka husikia milio katika mifupa yangu. Ni miguuni ama mikononi au hata shingoni. Ni tiba ipi inatibu au kurudisha ulaini?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
wataalamu nisaidieni,tatizo la kupata kivimbe(kama kijipu)sehemu ya Siri ya hajakubwa inasababishwa na nini na je ni bawasili?nini tiba yake?
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…