Prince mrema
Member
- Oct 11, 2017
- 61
- 71
Wadau mimi ni mtumiaji sana wa Azam Energy drink ile ndogo ya 600. Kwa siku nakunywa ata 3 kuendelea..na nikiwa nafanya kazi nikinywa huwa najiskia fresh sana na uchovu unakata nasikia ina madhara makubwa haya ni ya kweli au uzushi?