Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu...
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada wa kiafya, mwezi wa 8 nilikumbwa na ugonjwa wa kuwashwa ambapo nilianza kuwashwa mikononi nilivyokuwa najikuna nilikuwa natoka na vipele nikaenda hospitali...
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa...
Ndugu zangu wanajamvi habarini.
Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
Hi Jamani, mambo vipi? Shost wangu kaambiwa anao uvimbe kwenye kizazi, ametumia dawa, hakuna majibu mazuri. Ameambiwa yalazimu operesheni.
Ila kuna tetesi kwamba akifanyiwa operesheni tu...
Je ushawahi kupatwa na Stress.?
Hivi ukiwa na stress huwa unafanya nini? Au unafanyeje?
Kama Pombe hunywi au hautaki kunywa.
Na usingizi hupati.(insomnia)
Unafanyeje ili kuondokana nazo...
Ukuaji wa watoto hupitia hatua nyingi tangu kuzaliwa kwao. Mabadiliko haya huhusisha tabia na namna ambavyo mifumo ya mwili hufanya kazi.
Ukuaji wa watoto huwa haufanani, lakini wengi huanza...
Habari wakubwa,
Nimekuja kwenu nipate ushauri, maana kichwa kinawaka moto.
Mimi ni mtumiaji wa kondomu miaka 6 sasa sijapiga dry.
Jana nilikuwa nasex na bidada nikiwa na kondomu zangu 3 mpyaa...
Habari wakuu Baba yangu mzazi umri 62 huwa anatatizo la moyo. Sasa hivi karibu karibuni Amekua mapigo yake ya moyo yanashuka mpigo ya moyo yanakua chini wakuu hii Itakua inachangiwa na nini?
Sent...
Maisha ni fumbo na fumbo lenyewe Lina kuja pale unapougua na hujui utapona au ndo mazima.
Kuna magonjwa yanayoeleweka yanakupa hope kwamba ni suala la mda tu mambo yatakaa sawa. Ila Sasa kuna...
habarini wapendwa;
shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona...
Ndugu, wanaJamiiForums nimatumaini yangu mu bukheri wa afya. Leo ningependa kuwashirikisha katika mjadala huu juu ya masuala mbalimbali ambayo yameshamiri kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hakuna...
A HEALTHY sex drive will leave you peaking in more ways than one.
A survey by the American Association Of Retired Persons reveals:
People who have a lot of nookie experience health benefits...
Habari zenu wanajamii
Ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi
Nilitumia dawa...
---MFANO WA MASWALI YALIYOULIZWA---
Msaada wadau,
Mfano ukimeza dawa ya Malaria ile dozi ya siku moja, je naweza kutumia pombe baada ya muda gani?
Mimi nauliza, mfano umekunywa dawa za...
Habari za asbuh wakuu!
Nahitaji msaada wa hili suala, tatizo nivkwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakuwa ni nzito sana yaani inakuwa kama imeganda ganda halafu ni nyeusi mno.
KILA...
Habari wanajamvi,
Husika na mada tajwa mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Nyamagana.Nina shida ya huduma ya microneedling, yeyote mwenye kufahamu mahali naweza kuipata huduma hii kwa Mwanza...
Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya.
Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji...
Amani kwako mdau.
Mara nyingi siri ya uponyaji ipo kwa Mwenyaazi Mungu mja wa rehema na huwapa wachache nuru ya kujua tiba kutokama na mimea.
Nimeona nisifaidike mwenyewe, huu ni mmea ambao...