Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40. Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida? Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya...
54 Reactions
1K Replies
135K Views
Jaman habari zenu mimi nina changamoto ya presha na nimegundua kutokana na number zangu zinavyojieleza mara inapanda mara inashuka naitaji kuicontroll kabla haijaniletea shida kubwa zaidi iwe kwa...
3 Reactions
15 Replies
326 Views
Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama...
5 Reactions
19 Replies
354 Views
Kulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu. Sasa nina muda mrefu siioni.
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Habari Doctors!. "Kwanini bia ni chungu sana; ila mnatuambia ina sukari kuliko soda".
6 Reactions
33 Replies
432 Views
Naam maradhi yasiyo ya kuambukizwa yanazidi kuujaza ulimwengu. Kwa kifupi ugonjwa huu ni ile khali ya kubadili hisia kwa ghafla bila kuwa na sababu yeyote ya msingi, Kwa mfano mtu anaweza...
3 Reactions
14 Replies
293 Views
Juzi Jumatatu nilipata taarifa kuwa kuna swahiba yangu alikuwa amelazwa pale hospitali ya Kanda ya Bugando ikanibidi niende kumjulia japo hali. Nilifika salama na tukazungumza mengi sana kuhusu...
14 Reactions
53 Replies
801 Views
1. Uchovu 2. maziwa kujaa 3. Hasira
5 Reactions
25 Replies
355 Views
Siku hizi imekuwa kawaida kushuhudia vijana wa miaka 20 wanapata vipara. Na changamoto kubwa ni muda wanaotumia kwenye simu. Mwanga wa "Blue Light" ndio chanzo kizima cha wewe kupoteza nywele...
5 Reactions
6 Replies
520 Views
Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu. Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka. Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa...
16 Reactions
123 Replies
7K Views
Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hivyobasi mara nyingi hulazimika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni kweli thamani ya binadamu inabadilika kulingana na wakati?? Nimeuguza mtu wangu wa karibu Hospital kubwa tuu pale Mwanza. Alifariki kwa uzembe wa watoa huduma kutorejesha oxygen baada ya...
3 Reactions
18 Replies
267 Views
Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku? Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe...
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi...
9 Reactions
120 Replies
2K Views
Siku ya Bipolar Duniani huadhimishwa kila mwaka mnamo Machi 30, tarehe ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mchoraji mashuhuri Vincent van Gogh, ambaye aligundulika baada ya kifo chake kuwa...
8 Reactions
12 Replies
473 Views
Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
5 Reactions
43 Replies
847 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu ripoti ya...
2 Reactions
4 Replies
214 Views
Mafuta ya Zaituni Olive Oil Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo; (1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo...
14 Reactions
47 Replies
203K Views
Habari ndugu zangu nawasalimu sana. Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika. 1. Bawasiri ni matokeo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…