Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nguruwe ana-protein nyingi sana kuliko mnyama yeyote,Hiyo ndiyo inayomfanya kuwa host wa parasite wengi zaidi kwani nyama yake ina-create conducive environment for breeding and feeding hivyo...
1 Reactions
45 Replies
13K Views
Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha. Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure...
1 Reactions
1 Replies
591 Views
Wiki ya 8-12 Miadi yako ya kwanza ya kliniki inatakiwa kuchukua nafasi wiki ya 10 ya ujauzito ili mkunga wako akufanyie vipimo na uchunguzi mapema kama anahisi ni lazima. Ila inaweza fanyika kati...
5 Reactions
3 Replies
6K Views
Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari ndugu wadau? Nina maumivu ya mgongo nyuma ya kifua. Je, naweza kua ni dalili mbaya? Kuanzia mwaka 2009-2012 niliwahi kuugua aina fulani ya jipu mguuni, na nilifanyiwa Operation mbili kwa...
1 Reactions
3 Replies
713 Views
Hello members Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
1. The less you say, the more your words will matter. 2. Don't take everything personally. Not everyone thinks about you, as much as yourself does. 3. When you focus on problems, you'll have...
1 Reactions
3 Replies
715 Views
Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu. Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Energy drinks hutangazwa kama vinywaji vinavyoweza kuongeza nguvu na kuamsha ubongo. Matumizi ya bidhaa hii yameongezeka sana siku za hivi karibuni jambo lilaloongeza hamu ya kujifunza na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wanaJF! Tezi la karibu na kinena (juu ya paja karibu na kinena) limevimba na linanisababishia homa. Kwa experience ni kwamba, tezi (la kwenye kinena) huvimba iwapo tu kuna kidonda au...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Uko upande upi? Binafsi nazikubali dawa muhimu kwa kuwa ni uhakika kupona unapozitumia, zimeundwa kwenye Right Proportion (Composition), pia wataalamu wamekaa maabara miaka na miaka kuzifanyia...
0 Reactions
4 Replies
729 Views
📍Dar es salaam ◾ 17/01/2024 Habari wana-Dar es salaam. Tunamshukuru mungu kwa kutuamsha salaama siku ya leo. Wagonjwa na wanaopitia changamoto mbalimbali mungu awafanyie wepesi waweze kukabiliana...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Habari ya uzima wakuu Jiran na ninapokaa, Kuna mtoto amezaliwa ila kichwa kimejaa maji (wataalamu wa afya wanaita hydrocephalus) Kwa elimu yangu. Nafahamu hawa watoto wanatibiwa Kwa kuwekewa...
1 Reactions
0 Replies
700 Views
Mwaka wa 2018, karibu mwezi wa Januari, binti mmoja alijifanyia uchunguzi wa mwili na kugundua uvimbe mkubwa kwenye titi lake, ambao uliendelea kuongezeka hadi mwezi wa Oktoba alipofanyiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa Mujibu wa Mwongozo wa Kitaifa wa Kudhibiti Mlipuko wa Kipindupindu, Maeneo ambayo huonekana kushamiri maambukizi zaidi Nchini ni yale yasiyokuwa na maji ya kutosha ambayo ni safi na salama kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu habari zenu? Aisee nina mdogo wangu wa kike she is 20's, mwezi wa 7 mwaka jana alijifungua so nikawa nmeenda kumcheck ila nilishangaa kuona ana vipele mikononi na mgogoni na shingoni...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni. Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie. Niko na hali mbaya. Asanteni.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Inawezekana kila mwanamke anatamani kuwa na uke wenye harufu nzuri na kamili, hasa kwa furaha au kuridhika kimapenzi. Lakini, matumizi ya bidhaa za utunzaji wa kike yanaonywa na wataalamu wa afya...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuuu msaada apo ni positive au negative.........three weeks before nilipima hospital nikaambiwa nipo fresh kabisa yaan negative
2 Reactions
11 Replies
869 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…