Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Uume wangu ni mkubwa sana hali hii inanikera kutokana nakimbiwa sana na wanawake wenye umri kama wa kwangu au niliowazidi. Nikitoka kwenye shoo huwa hawarudi hata kutembea hawatembei vizuri...
16 Reactions
122 Replies
7K Views
Zujuie chuchu za Mwanamke ! ✍️Dr. William - Maziwa ya mwanamke ni futa futa za nyama ambazo zina wingi wa mishipa ya damu. - Uhai wa maisha ya mwanamke upo kwenye maziwa yake, hivyo piga...
15 Reactions
103 Replies
9K Views
Nina vipele kwenye weusi kuzunguka chuchu. Nimetumia dawa vinaisha baada ya muda vinarudi tena. Nikashauriwa nitafute Daktari wa ngozi. Msaada tafadhali
3 Reactions
10 Replies
883 Views
Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo: 1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
NIMESHARE NA WEWE MWANA JF NIMEITOA FB KARIBU TUJITIBU SOTE. Hii ni orodha ya magonjwa 90 kwanza. Inapotokea wafalme wa Misri, Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na...
4 Reactions
29 Replies
41K Views
Uelewa mdogo wa jamii kuhusu masuala ya lishe ikiwemo matumizi sahihi ya vyakula vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali ya nchi ni miongoni mwa sababu zitajwa kuchangamoto utapiamlo ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Habari wakuu Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini. Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam. Nimejaaliwa kupata mtoto mchanga na anatimiza mwezi wa pili kesho kutwa. Nikiri kwamba huyu ndie mtoto wangu wa kwanza, leo katika kufanya observation ya mtoto nimeona kabonyea upande...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Salaam. Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama...
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Nimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi Mwenye Experience na root...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Wapendwa naomba msaada wa dawa nzur ya watoto ya amoeba na minyoo ya safura kapewa dawa ya minyoo ya vidonge imegoma anamiaka minne
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Habari zenu wana JF TATIZO; Nilikuwa najihisi nina malaria, baada ya kupima nilikuwa nayo ipo ya kutosha Nilitumia dawa zinaitwa EKEFLIN (za Kenya) but baada ya hapo asubuhi niliamka na hali...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Kuna kesi ipo mtaani: Kuna wagonjwa (mke + mume) wa HIV ambao walishapima tangu miaka 15 iliyopita baada ya kuumwa mara kwa mara magonjwa kama vile fungus, typhoid na maradhi mengine Baada ya...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Nipo naumwa jamani sasa katika swala la lishe naona napata changamoto sana vidonda vinanipa shida sana ndani ya mdomo na ulimi. Nimejaribu kutumia vitamin B complex lakini naona dozi inaishia...
2 Reactions
18 Replies
11K Views
nimegundua vijana wengi na watu wazima ambao sio wazee ambao hunyoa kipara kichwa chote muda wote huwa wanavipara kama vya wazee ikitokea wameacha kunyoa nywele. Asilimia kubwa. Jana nikiwa kwa...
2 Reactions
45 Replies
13K Views
ADUI WA KWANZA MAGONJWA Magonjwa ni adui namba 1 wa uume wako. Magonjwa ya sehemu za siri, magonjwa ya mwili. kwa ujumla, na magonjwa ya wanaume kama - tezi dume ni adui wa uume wako. Ugonjwa kama...
31 Reactions
48 Replies
26K Views
🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu. 🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku. 🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya...
5 Reactions
9 Replies
634 Views
Jamn siku ya leo nimeshindwa kufanya tendo nikiingia kidogo kwenye uke namwaga mapema. Mwanzoni nilikuwa muhanga wa punyeto lakin nimeacha kwa muda mrefu kidogo ila sasa nashindwa kufanya tendo...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
4 Reactions
8 Replies
643 Views
Back
Top Bottom