Habarini za muda huu
Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na...
Wanawake wengi hupata kichefuchefu na kutapika katika trimesta ya kwanza (miezi 3) ya ujauzito ambayo mara nyingi huitwa kigegezi cha asubuhi.
Hutokea sana asubuhi mwanamke anapotoka kitandani...
Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika...
Habari za hapa. Mwaka jana nilipata tatizo la Autoimmune disease ambapo kinga za mwili zina over react na kushambulia mishipa midogo ya fahamu(nerves).
Kitaalam unaitwa Chronic inflammatory...
Kama daktari anayeangazia afya ya akili, mimi ni Daktari Rafiki, na katika video hii, natoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kushinda mawazo ya kujiua na kulinda afya yako ya kiakili.
Nitakupa...
With these very serious concerns about the MPOX virus put forward,should any reasonable person opt for theMonkeypox Vaccine?
Sep. 18, 2024 3:20
On August 30th, the FDA approved the ACAM2000...
Wakuu naomben ushauri wa Madaktari,
Nimefanya tendo na binti mmoja lakini baada ya tendo misuli ya uume inaniuma sijajua shida nini.
NB: Nilizingatia Kinga this time.
Habari za asubuhi wana JF,
Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya...
Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je...
Naomba mnisaidie wadau,
Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa...
Picha kwa hisani ya Google
Mapacha hutokea pale ambapo yai linaporutubishwa hugawanyika mara mbili au zaidi kutoa mtoto zaidi ya mmoja au pale ambapo yai zaidi ya moja hurutubishwa na mbegu za...
Wakuu katika hali ya kushangaa! Mwanamke karudi na Azuma za siku tatu na anti pain kama matibabu ya PID??
Sasa nilichoshangaa kweli PID itibiwe na Azuma ya siku tatu. Nielewavyo mimi PID ni...
Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni mjamzito wa wiki 24 nimekuja kwenu ili niweze kupata majibu ya maswali yangu.
Tatizo langu ni kwamba nimepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa mwanzoni nilikuwa...
Habari wana JF.
Poleni na majukumu, naomba msaada kuhusu ugonjwa wa PID. Mimi nina mpenzi wangu wiki iliyopita tulikutana kimwili.
Kawaida tu, lakini kuna nyakati siku mbili baadaye nikaona...
Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari.
Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na...
Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka...
Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂.
Leo tumalize utata, weka...
Naombeni msaada/ushauri wa kitaalam mwenye kujua sababu za kuumwa chuchu za matiti ni zipi mzunguko wa hedhi umepita teyar wala sina mimba ila maumivu nayaskia
Nina mtoto mdogo wa miaka 3½ ambaye siku ya Jana alikuwa analalamika wakti wa kujisaidia haja kubwa lakin baada ya masaa kadhaa alijisaidia kumbe alikuwa anapata maumivi ndani ya haja kubwa...