Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naomba niwashirikishe kilichonipata ili angalau walio na tatizo kama lililonipata waweze kujua pakuanzia. Miezi ya hivi karibuni nnapatwa na hali flani ya kukosa pumzi na Kupumua kwa shida, hali...
14 Reactions
25 Replies
10K Views
Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wakuu, poleni kwa majukumu. Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) Jumamosi usiku wa Septemba 7. Jumapili tulimpeleka Zahanati akapimwa Malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Pole na majukumu natumai wote ni wazima wa afya na akili pia Kuna rafiki yangu ana mke wake ana siku nyingi hajawanae karibu alikuwa nje kikazi amerudi mwezi wa nane tareh 20 akakutana na mwenza...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nguvu za Kiume ni Nini? Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimetoka hospital jion hii wameniambia sina gono bcz ningekua nalo ningekojoa uchafu wameniambia nisubri siku saba dawa zifanye kazi. Kwasasa nina maumivu kwenye sehem ya juu ya mjubelege yaani...
3 Reactions
4 Replies
411 Views
Kuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyopita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospitali anaingiziwa damu lakini siku hiyo hiyo inaisha tena na madaktari...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Je, Uke Wako Unatoa Harufu Mbaya? Hii Ndio Jinsi ya Kumaliza Tatizo Lako Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari...
1 Reactions
2 Replies
382 Views
Habari wadau, Suala hili linaumiza kichwa. Kwa mujibu wa shirika la afya wanasema mwanamke akitimiza mwaka bila kuzaa na anashiriki tendo, basi huyo ni tasa. Sasa ni zaidi ya nusu mwaka mtoto...
11 Reactions
111 Replies
4K Views
Nikisikia jambo zito au stori inayohusu gonjwa baya mtu kapata au nikisikia taarifa yeyote ya oparesheni kubwa mtu anafanyiwa ninaemjua huwa mguu wa kushoto unaishiwa nguvu (yani unalegea kabisaa...
3 Reactions
13 Replies
621 Views
Wanajukwaa habarini nilikuwa naulizia dawa ya kuondoa alama ya mshono mdomoni.
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu amejaliwa watoto wawili nje ya ndoa !! Kufika kwene ndoa bila bila wakat na mke ana mtoto wa pembeni. Tupeni ABC!Mliopata matatzo ya utasa au ugumba ukubwani tatizo lilikua...
2 Reactions
7 Replies
691 Views
Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili...
3 Reactions
10 Replies
980 Views
Wakuu tuvae Kinga maradhi kama Ukimwi, UTI, Gono yapo kweli tusipuuzie yakaja kutukuta madhara kama nayopitia mimi. Anyway msichana alieniambukiza na ndo huyohuyo mwezi wa tisa mwanzoni napeleka...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakuu hivi kuna madhara ntapata baada ya kufanya sex leo ikiwa asubuhi ndo mmemaliza doz ya sku tatu ya Azuma bahat mbaya nmejisahau nmefanya kavu.
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wameniuliza kama zile dawa zilinisaidia, kiukweli baada ya matumizi sahihi ya PEP kwa mwezi mzima, nilipima punde tu baada ya kumaliza dawa ilikua mwezi wa 3 mwaka huu..nkawa NEG...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari, Nina mtoto wa mwaka 1.9 ambaye mama yake tuliachana ila kwa sasa anasema mtoto sio wangu. Nimesitisha huduma zote na nataka kufanya mpango wa kudai gharama zangu za kumlea mpaka kufika...
3 Reactions
9 Replies
731 Views
Nauliza hivi maana ake ni rare sana mtu akakushauri au mtaalam akakushauri uende hospital hii. Wala sidhan kama ugonjwa ukiwa shinda wana kureffer hapa. Hii inazidi kunipa maswali mengi. Ingawa...
0 Reactions
4 Replies
573 Views
Back
Top Bottom