Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wataalam habari zenu. Kuna mtoto anashida ya kutembea, mara ya kwanza alikuwa hawezi kukaa, alikuwa analala tu. Tukamtafutia baby seater. Sasa anakata, Sasa ni wakati wa kumtafutia baby walker...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwamba uyu apa
7 Reactions
52 Replies
2K Views
1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha...
4 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya upande wakushoto ktk bega na nyuma ya bega usawa wa moyo nimefanya ecg na echo nimebiwa echo Iko sawa. Ila ecg inaonyesha shida kidgo nkaambiwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina changamoto kubwa ambayo inanitesa naombeni msaada wa mawazo. Kimsingi nina shida ya kiuno kufa ganzi au kukamaa kwa muda hususani ninapo enda haja au kukaa kwa muda mrefu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama umechunguza hili utaungana na mm kua walemavu wengi wa akili huwa na maumbile ya kiume kubwa oversize tofauti na wastani Je ni sababu gani ya kibaologia inayochangia hawa watu kuwa na neema...
23 Reactions
119 Replies
7K Views
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko...
9 Reactions
82 Replies
8K Views
Naomba mtu anayejua au anamfahamu daktari wa saikolojia MUHIMBILI , aniunganishe nae au anipe mawasiliano yake. Kuna mtot wa dada yangu anajisikia vibayani mda sasa.
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Nashindwa kuelewa kila mwanaume nliyekutana nae huwa anashindwa kusex na mimi huku wakidai uke wangu umebana sana wakinambia huenda nna tatizo. Na wengine huwa wanakimbia kimya kimya wakidhani wao...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
1. Jitahidi utumie supu ya dagaa chuku chuku kumbuka isiwekwe chumvi na mafuta (x5 kwa week). 2. Punguza vinywaji vyenye sukari kwa wingi au vyakula vyenye sukari nyingi badala yake tumia maji...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Chanzo ni nini? After 10 minutes nalazimika kuweka mate ili kuepusha friction?
5 Reactions
134 Replies
4K Views
Habari ndg naomba msaada mgongo unaniuma san naomba msaada anae fahamu dawa au tatizo..
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia...
3 Reactions
15 Replies
836 Views
Habari za jion wana JF, Nimekua nikitumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwa muda wa miezi 6 sasa ,mwanzoni niliandikiwa dawa aina ya BISOPROLOL nikatumia kwa muda wa mwezi mmoja tu nikaacha...
15 Reactions
137 Replies
13K Views
Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya...
1 Reactions
3 Replies
904 Views
PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo...
9 Reactions
111 Replies
31K Views
Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama...
2 Reactions
5 Replies
615 Views
Maelezo ya picha,Utafiti umebaini ulaji wa tambi na wali kwa wingi husababisha ukomo wa hedhi mapema Vyakula vyenye wanga kwa wingi husababisha wanawake kukoma hedhi mapema, utafiti umeeleza...
1 Reactions
2 Replies
749 Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa mgonjwa alienda kupima ecg akaambiwa ana short pr interval naomba kujua matibabu yake na kama inatibika na kua katika hali ya kawaida. Shukrani
1 Reactions
2 Replies
575 Views
Back
Top Bottom