International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameshindwa kupata kura nyingi katika uchaguzi wa wawakilishi wa viti vya Bunge, ikiwa ni pigo kubwa kwake katika utawala wake ambapo amerejea madarakani hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67. Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa...
15 Reactions
214 Replies
12K Views
Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) za mwaka 2021 ambazo pia zinatumuka mpaka sasa zinaonesha kuna idadi ya watu milioni 89.3 ambao wamekimbia makazi yao, kati...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Wanajeshi wawili wastaafu wa Marekan ambao walikuwa Nchini Ukraine wakipigana vita dhidi ya Urusi hawajulikani walipo na inahofiwa wametekwa na wanajeshi wa Urusi. Alexander Drueke, 39, na Andy...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Ukitaka kujua wakimbizi ni Biashara nenda Kigoma kwenye zile kambi, kule kuna wakati zile NGOs zilizo jazana kule zilikuwa zina gombana wao kwa wao kila mmoja ikipigania kuwahudumia wakimbizi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiona mpaka dikteta analialia na kuomba, jua kimeumana.
7 Reactions
15 Replies
889 Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amewaomba wafanyabiashara wasiondoke na kuikimbia Urusi, akisema Urusi ni salama zaidi na ni vyema wakawekeza Urusi kuliko nchi za magharabi, kwani endapi wataikimbia...
4 Reactions
6 Replies
783 Views
Kwa kweli Putin ameamua kuharibu Urusi na kuirudisha nyuma mbali sana, hatari sana kwa nchi kuongozwa na akili za mtu mmoja, anafanya maamuzi na kuchemsha na kuharibu kila kitu kichizi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
https://cdn.jwplayer.com/previews/65vS8oC7 Hizi jezi ni Russ au Amer
2 Reactions
2 Replies
415 Views
Nchi za Magharibi kwenye hii vita ya Urusi na Ukraine wanapigana kisayansi zaidi na kisomi Wameanza na vikwazo vizito vikiwemo kuwatoa kwenye matumizi ya Euro,Dollar,pound na Yen na matumizi ya...
36 Reactions
321 Replies
24K Views
Vita vya Ukraine vinaweza kudumu kwa miaka kadhaa, aonya mkuu wa Nato Katibu Mkuu wa Nato akizungumza baada ya mkutano na mawaziri wa ulinzi wa muungano wa kijeshi Juni 16.Image caption: Katibu...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa...
15 Reactions
95 Replies
50K Views
Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Jun 18, 2022 Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia Maria Zakharova ameiambia chaneli ya Kiarabu ya Sky News kwamba: "Ukraine tuliyokuwa tukiijua mimi na wewe na iliyokuwepo kwenye mipaka ya...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Licha ya kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin akizungumza katika Kongamano Jijini St Petersburg amesema vikwazo hivyo ni vya ovyo na havina malengo, pia haviwezi...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom