Serikali ya Marekani imekubali kupunguza kifungo cha “tapeli wa mitandaoni” Hush Puppi hadi miaka 11 kwa kuwasaidia wapelelezi kutatua kesi nyingine.
⠀
Hush Puppi maarufu raia wa Nigeria...
Hii ni code name inayosimama kwa ajili ya utaratibu mzima wa hatua kwa hatua ya kile kitakachotokea baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II. Mpango mkakati huu ulitengenezwa kwa mara ya kwanza mwaka...
Ni kuanzia tarehe 31 mwezi ujao wa Oktoba na sababu kubwa ni thamani ya euro kuendelea kuporomoka jambo ambalo linawapa wasiwasi.
Baadhi ya wateja wa PayPal huko Ulaya wameanza kujulishwa kupitia...
Anasema mto umefurika miili ya wanajeshi wa Urusi, alikua anaongea na mkewe kwa simu, anatukana balaa na kulaani...
"F***ing HIMARS s**t. They are long-range and our tank was hit too....," the...
Huyu jamaa sasa hivi akapimwe maana anakoelekea ni kituko, si alidai hatorudisha gesi hadi waondolewe vikwazo vyote.
Now kikwazo ni turbine.
Putin says Russia will restart Nord Stream 1 gas...
Leo ni sherehe za uhuru nchini India toka walipopata uhuru kutoka kwa Muingereza mwaka 1946. Kwa miaka 75 India imejenga uchumi unaokua haraka zaidi huku ikiwa imebeba miongoni mwa watu matajiri...
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS
Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe.
Katika maagizo...
Ukraine imekiri rasmi kwamba ilifanya shambulizi la Makombora na maroketi kwenye kambi ya jeshi la Urusi Crimea baada ya wiki kadhaa kukana kutohusika na shambulizi hilo.
Mkuu wa jeshi la Ukraine...
Wakuu habari za muda huu nimeona nifungue uzi huu kwa lengo la kujadili kwa mapana haya yanayoendelea nchi ni Burundi baada ya Ijumaa ya wiki jana Rais wa nchi hiyo kutamka hadharani kuwa kuna...
Moscow has accused the “liberal-totalitarian West” of seeking to impose a neo-colonial world order on the World
Chairman of the Russian Historical Society, Director of the Foreign Intelligence...
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu...
Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu
Taarifa ya...
Thursday, September 08, 2022
By far the cheapest and most optimal type of energy for stovetop cooking, natural gas is the latest target of the global warming cult, which wants it banned from all...
Na Fadhili Mpunji
Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na...
Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye...
Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong.
Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16...
Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Taarifa hiyo imetolewa na Kasri la Buckingham
Imeelezwa, Mwanamfalme Philip (Duke of Edinburgh)...
AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧
Na JumaKilumbi,
05.09.2022
Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa...