International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu" Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Huko Marekani, madhara ya chanjo ya COVID 19 yameanza kujitokeza baada ya kusababisha matatizo makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40. Magonjwa ya moyo sasa yameanza kua ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hizi nyakati si za kawaida kwa wakongwe wanazidi kujionea maajabu.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Pole pole wingu la huzuni lilikunjuka na mbio mbio likatanda na kuigubika Omani nzima na nje yake usiku wa kuamkia Ijumaa, Januari 10, 2020. Nyakati hizo ndipo alipofariki mtawala wa nchi hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Ukraine...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza. Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa.. Iran has come under...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
“We finished up with the 🇷🇺professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine. ============== Urusi...
16 Reactions
31 Replies
2K Views
Russia anapiga kimya kimya hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Western wakitoa mlio wa vikwazo ujue wamechomwa na Kitu chenye kali. Marekani waliweka vikwazo vya gasi ya Urusi ili wao wauze...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Gaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7. Gaidi hilo la...
3 Reactions
5 Replies
918 Views
Uingereza yaripoti kuwa Zelensky na maafisa wake wakuu wa usalama wamelazimika kuitisha kikao cha dharura leo jumatatu kujadili droni za Urusi zinazonasibishwa na Uajemi. Hiyo ni baada ya Urusi...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
EU central bank warns ‘outlook is darkening’ The ECB has slashed growth forecasts, hiking interest rates even as it predicts inflation will climb further EU central bank warns ‘outlook is...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga Putin kaona...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkilazimisha maskini wakafie Ukraine, basi na matajiri hambaki salama. ========= Ahuge fire broke out at a Russian steel plant owned by Roman Abramovich, an ally of President Vladimir Putin...
1 Reactions
7 Replies
925 Views
Mshindi wa bahati nasibu ya India amesema anaelemewa sana na maombi ya misaada ya kifedha kiasi kwamba anajuta kushinda Bahati Nasibu hiyo. Anoop, dereva wa magari kutoka jimbo la kusini la...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanataka ionekane kama ambao walikimbia mapigano, sio kwamba waliuawa. Wanatumia magari yenye tanuri ya moto wa kuchoma maiti hadi majivu ======== The Russian Ministry of Defence has been...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia...
12 Reactions
28 Replies
4K Views
Mtu mwenye silaha avamia shule na kuuwa Watu 6 na kujeruhi 20 ========= 6 dead, 20 wounded in school shooting in Russia MOSCOW (AP) — A gunman on Monday morning killed six people and wounded 20...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…