International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Maandamano yanazidi kupamba Moto Iran The intelligence chief of Iran’s Revolutionary Guards in the southeastern province of Sistan and Baluchestan was shot dead in the provincial capital Zahedan...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
it is not funny anymore tuwaombee hawa waja jaman. Novosibirsk, russia. Relatives of mobilized soldiers are bringing them food while the commanders are not watching. Hey, someone tell them...
2 Reactions
7 Replies
867 Views
Hali ya jeshi la urusi huko Lyman ni ngumu sana. Ukraine imekomboa vijiji vyote vinavyozunguka Lyman na Lyman na Zarichne pekee ndio zimebakia kukombolewa. Barabara kati ya miji hii ndiyo pekee...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
White House responds to Ukraine’s NATO request Now is not the time, says national security adviser Jake Sullivan.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Uingereza yalalamika kuwa Putin atayatawaza rasmi maeneo manne ya Ukraine kuwa Urusi ktk hafla nzito itayofanyika kesho ijumaa. Maeneo hayo ambayo ni asilimia 15 ya Ukraine yanahusisha Lugansk...
17 Reactions
60 Replies
5K Views
Ndani ya NATO kuna kinga, taifa lako likiwa ndani ya NATO, yaani Urusi hupita mbali na haiwezi ikakosea njia na kwa namna Urusi imedhihirisha udhaifu wake baada ya kushindwa kuparamia Ukraine...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita. Ila kwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha...
16 Reactions
29 Replies
4K Views
Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa...
1 Reactions
6 Replies
933 Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine. Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba...
12 Reactions
82 Replies
9K Views
Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi? Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Bomu hilo limelipuka baada ya mtu kujitoa mhanga katika kituo cha wanafunzi wa Chuo Kikuu waliokuwa wakijiandaa katika Mji wa Kabul wengi wao waliouawa ni wasichana. Inadaiwa kuwa watu wengine 36...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Uingereza yakata tamaa na Putin....Yakiri kuwa Marekani+NATO (muungano wa nchi 30 dhaifu Duniani)+EU+ Ukraine hawana ubavu wa kumzuia Putin kujimilikisha rasmi asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine...
20 Reactions
41 Replies
5K Views
Shirika la Utangazaji la BBC limesema wafanyakazi wake takriban 400 watapoteza kazi zao kama sehemu ya programu ya kupunguza gharama za uendeshaji na kuhamia katika majukwaa ya kidijitali BBC...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na...
8 Reactions
85 Replies
12K Views
Kiduku wa North Korea amerusha makombora mawili ya balistiki hivi punde ya kumkaribisha rasmi makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris mjini Seoul (South Korea), anayetazamiwa kufika kesho...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom