Uingereza: Wafanyakazi Takriban 400 wa BBC kupoteza ajira zao

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Shirika la Utangazaji la BBC limesema wafanyakazi wake takriban 400 watapoteza kazi zao kama sehemu ya programu ya kupunguza gharama za uendeshaji na kuhamia katika majukwaa ya kidijitali

BBC, ambayo inaadhimisha miaka 100 Oktoba 2022, inafanya kazi katika lugha 40 duniani kote ikiwa na hadhira ya watu Milioni 364 kila wiki, imesema hatua hiyo ni kutokana na tabia ya watazamaji kubadilika na watu wengi zaidi walikuwa wakipata habari mtandaoni, pia changamoto za kiufadhili

………….

Nearly 400 staff at BBC World Service will lose their jobs as part of a cost-cutting programme and move to digital platforms, the broadcaster announced on Thursday.

The BBC said its international services needed to make savings of £28.5 million ($31 million) as part of wider reductions of £500 million.

In July it detailed plans to merge BBC World News television and its domestic UK equivalent into a single channel to launch in April next year.

BBC World Service currently operates in 40 languages around the world with a weekly audience of some 364 million people.

But the corporation said audience habits were changing and more people were accessing news online, which along with a freeze on BBC funding and increased operating costs meant a move to “digital-first” made financial sense.

“Today’s proposals entail a net total of around 382 post closures,” it said in an online statement.

Eleven language services — Azerbaijani, Brasil, Marathi, Mundo, Punjabi, Russian, Serbian, Sinhala, Thai, Turkish, and Vietnamese — are already digital only.

Under the restructuring plans they will be joined by seven more: Chinese, Gujarati, Igbo, Indonesian, Pidgin, Urdu and Yoruba.

Radio services in Arabic, Persian, Kyrgyz, Hindi, Bengali, Chinese, Indonesian, Tamil and Urdu will stop, if the proposals are approved by staff and unions.

No language services will close, the broadcaster insisted, although some production will move out of London.

The Thai service will move to Bangkok, the Korean service to Seoul and the Bangla service to Dhaka.

Sources: AFP, PUNCH
 
Athari za Teknolojia hizi...

BBC, ambayo inaadhimisha miaka 100 Oktoba 2022, inafanya kazi katika lugha 40 duniani kote ikiwa na hadhira ya watu Milioni 364 kila wiki, imesema hatua hiyo ni kutokana na tabia ya watazamaji kubadilika na watu wengi zaidi walikuwa wakipata habari mtandaoni, pia changamoto za kiufadhili
 
Funga takataka hilo, kila mtu afuate taarifa za kijijini kwake, mambo ya Taiwan sijui China, Ukraine au hata huko Uingereza yananisaidia nini mimi hapa tandale kwa tumbo?
Itabidi uniazime ili tv ya asili ya bibi yako ili nione yanayoendelea kijijini kwangu kilwa kivinje.
 
SmartSelect_20220930-112301_Chrome.jpg
 
Ungeanza kwa kutokutumia kabisa na simu zao na Internent yao ndiyo ningeona upo serious.
Eti simu zao, wewe na wewe si mkae tu kimya, simu yao hela ya kununua aliitoa baba yao au vipi? Simu ni yangu nanimenunua kwa pesa yangu we firauni….bando nalipiwa na muingereza? Tozo je? Jiongeze…
 
Itabidi uniazime ili tv ya asili ya bibi yako ili nione yanayoendelea kijijini kwangu kilwa kivinje.
Huna mawasilaino ya bibi yako? Skype au WhatsApp call na bibi yako, Internet ipo mpaka kileleni Kibo, sio kila saa macho kwenye tv kuangalia BBC mambo ya London na upo hapa chanika, wenyewe wanazima mamitambo ya TV dunia ipo kiganjani saizi, shtuka…
 
Itabidi uniazime ili tv ya asili ya bibi yako ili nione yanayoendelea kijijini kwangu kilwa kivinje.
Kwa akili zako unadhani kuna Muingereza yupo pale anaangalia bibisi swahili mikoroshini kwa bibiyako… takataka wewe… wapi dampo?
 
Eti simu zao, wewe na wewe si mkae tu kimya, simu yao hela ya kununua aliitoa baba yao au vipi? Simu ni yangu nanimenunua kwa pesa yangu we falao….bando nalipiwa na muingereza? Tozo je? Jiongeze…
Sasa unabwatuka nini kama unapenda kutumia vitu vyao.Unatokwa povu la bure lisilokuwa na maana.
 
Huna mawasilaino ya bibi yako? Skype au WhatsApp call na bibi yako, Internet ipo mpaka kileleni Kibo, sio kila saa macho kwenye tv kuangalia BBC mambo ya London na upo hapa chanika, wenyewe wanazima mamitambo ya TV dunia ipo kiganjani saizi, shtuka…
Hiyo Dunia ipo kiganjani kwa kutumia technology ya nani? Mbona unajichanganya sana,kipi unakikataa na kipi unakikubali sasa hapa.Hiyo Skype au Whattsup uliianzisha wewe?
 
Ila huu utaratibu wa BBC kutangazia kutoka kwenye mataifa mbalimbali badala ya London unaharibu sana thamani ya maudhui ya taarifa zao.

Kwa mfano, toka walipoanza utaratibu wa kutangaza wakiwa Nairobi au Dar Es Salaam wamekuwa wakitangaza tu kama redio za huku kwa kuchuja habari kwa kuogopa hizi tawala za kibabe.

BBC imekosa kabisa maana na kufanya tofauti yake na TBC kuwa ndogo sana.
 
Back
Top Bottom