Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
it is not funny anymore tuwaombee hawa waja jaman.
Novosibirsk, russia.
Relatives of mobilized soldiers are bringing them food while the commanders are not watching.
Hey, someone tell them that the food in Ukrainian captivity is better than in the russian army.
wakati huohuo sasa
RASIMI: Vikosi vya Ukraine vimewazunguka wanajeshi wapatao 5,000 wa Urusi huko Lyman. Wanajeshi wa Urusi waliwaomba Makamanda wao ruhusa ya kurudi nyuma ili wasizungukwe na Ukraine lakini ombi hilo lilikataliwa, amesema Serhiy Haidai, gavana wa Jimbo la Luhansk.