International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Umepata picha Urusi itakuwa taifa gani? Ukiwa jela zake zinaenda wasomba vijana ambao hawataki kushiriki vita ya Putin? Huku vijana wengi walioondoka kwa kutoroka phase ya kwanza baada...
0 Reactions
2 Replies
418 Views
Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele. Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel..... DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salama wandugu, Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza naipongeza serikali ya JMT kwa kuzuia Siasa Shuleni Serikali ya Iran unaweza kuangushwa na Wanafunzi wa kike, inasikitisha sana
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi. Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Felicien Kabuga (84) ni mmoja wa Rwanda anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya Rwanda. Ameishi Asnieres-sur-Seine, Ufaransa kwa jina feki ili kuficha utambulisho akiwa na watoto wake Kabuga...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Baada ya raisi Putin wa Urusi kutangaza rasmi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine hapo jana,rais Joe Biden amesema Marekani haitishwi na maneno ovyo ya Urusi. Maneno hayo anayokusudia Biden yanaweza...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Aljazeera yasema North Korea imerusha kombora hatari zaidi la balistiki lililoelekezwa Japan, na kupita juu ya Japan. Kombora hilo lililotembea kwa spidi ya March 17 (mara 17 ya spidi ya sauti)...
9 Reactions
64 Replies
6K Views
Wahandisi kila kukicha vichwa vinawagonga na kuwauma kila leo kutaka kujenga majengo marefu zaidi pengine na yakushangaza zaidi. Wataalam wa mambo wana iita dunia kua is the cup of tea,(yaani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
#IRAN KILICHO NYUMA YA MAANDAMANO DHIDI YA HIJABU NCHINI IRAN. Mnano tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2022 kilitokea kifo cha bint Mahsa Amin Amefariki akiwa katika kituo cha polis mjiji Tehran na...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Zelensky reacts to Musk’s peace proposal The Ukrainian president rallied his followers against “the Elon Musk who supports Russia.” Zelensky reacts to Musk’s peace proposal Vladimir Zelensky...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
View all Description NASAMS is a distributed and networked short- to medium-range ground-based air defense system developed by Kongsberg Defence & Aerospace and Raytheon. The system defends...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Ramzan Kadyrov, Mbabe wa Vita na pia Rais wa Jamuhuri ya Chechnya, amesema muda wake wa kubwaga kiti cha Urais umewadia. Kiongozi huyo mwenye 'military rank' ya Lieutenant General, amesema tayari...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwili wa Mchungaji Siva Moodley mwanzilishi wa The Miracle Center kaskazini mwa Johannesburg nchini Afrika Kusini umesalia kwenye chumba cha kuhifadhi maiti kwa madai kuwa familia yake inafanya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Natabiri vurugu za kugoma kuvaa hijabu zitasambaa nchi zote za kiislamu, viongozi wataondolewa madarakani, itakuwa Arab Springs Part two. Nchi zote zinazoongozwa sharia law za kiislamu zijiandae...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika NA BRYAN OTIENO Ushirikiano kati ya China na Afrika katika zama mpya ndiyo njia pekee...
0 Reactions
5 Replies
694 Views
Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”...
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani...
13 Reactions
56 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…