Jela za Urusi zitafurika Raia wema, na Waharifu wanatolewa kwenda kupigana vita

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Umepata picha Urusi itakuwa taifa gani? Ukiwa jela zake zinaenda wasomba vijana ambao hawataki kushiriki vita ya Putin?

Huku vijana wengi walioondoka kwa kutoroka phase ya kwanza baada kutangazwa vita ambao wengi ni elite na wengine kuanza kutoroka katika phase ya pili baada ya kulazimishwa mobilization wakapigane vita.

Wakati huo huo wale Waharifu waliofungwa kwa makosa mbalimbali wakirudi Uraiani kirahisi tu kutokana na vita ilipofikia.

Na log off Z
"Tumeshaichukua Odessa sasa tunaimega Moldova na Poland"
 
IMG_8100.jpg
 
Back
Top Bottom