Natabiri vurugu za kugoma kuvaa hijabu kusambaa nchi zote za kiislamu, viongozi wataondolewa madarakani ikawe Arab Spring sehemu ya pili

Maandamano ya Iran yakifanikiwa kumwondoa raisi basi hiyo Hali ya KUKATAA MILA za hovyo zitaendelea kwenye nchi nyingine za Arabs....
Najua maandamano haya lazima yaondoke na viongozi wakubwa Acha tusubiri tuone Huko mbele itakuaje
 
Haya maandamano hayawezi kufanikiwa..

Sababu wakubwa wa dunia wapo busy wanataka kumuondoa Putin kwa kumtumia Ukraine..

Iran ataponea hapo.. ila ingetokea hakuna vita ya ukraine.. serikali ya Iran ilikuwa inafanyiwa alichofanyiwa Ghadafi , Saddam Hussein na wababe wengineo wa kiislam
 
Sidhani kama wakubwa wapo busy Sana Hadi wanashindwa kufanya fitina kumbuka haya maandamano yamepelekea Hadi wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali kugoma kuingia madarasani hii ni taa nyekundu hasa Kwa wasomi kuanza kusapoti maandamano.
Serikali ya Iran imejitahidi kuzima internet nchi nzima lakin imeshindikana na vurugu zimeenea karibia Miji 8
 
Natabiri vurugu za kugoma kuvaa hijabu zitasambaa nchi zote za kiislamu, viongozi wataondolewa madarakani, itakuwa Arab Springs Part two.

Nchi zote zinazoongozwa sharia law za kiislamu zijiandae viongozi wake kufungashwa virago.
Vurugu za Iran hazitaudhuru Uislam. Uislam sahihi kama alivyouacha Mtume(Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) kwa Swahaba zake (Radhiya Allahu 'Anhum) wakaufuata utaendelea kuwepo na wanaoufuata wataendelea kuwepo, na Allah atawaongoza na kupitia wao Allah atawaongoza wengine, na wataendelea kuwashinda wanaowakhalifu na kuwapinga mpaka itakapokuja Amri yake Allah.

The Messenger of Allah (sallallāhu alaihi wa sallam) said, “There will not cease to be a group of my Ummah uppermost upon the truth. They will not be harmed by those who forsake them, until Allah’s affair comes to pass and they are uppermost.” [Reported by Muslim]’

The Prophet (sallallaahu alaihi wa sallam) said,

“This knowledge will be carried by the trustworthy ones of every generation. They will expel from it the alterations made by those going beyond bounds, the false claims of the liars and the false interpretations of the ignorant.”

Reported by Ibn ‘Adiyy, Ibn ‘Asaakir and others and it is saheeh.
 
Natabiri vurugu za kugoma kuvaa hijabu zitasambaa nchi zote za kiislamu, viongozi wataondolewa madarakani, itakuwa Arab Springs Part two.

Nchi zote zinazoongozwa sharia law za kiislamu zijiandae viongozi wake kufungashwa virago.
Huu ndiyo ukweli infact kati ya sasa mpaka mwishoni mwa mwaka ujao vingozi wengi sana watatoka madarakani dunia nzima.
 
Huijui Marekani. Huko Iran yumo sana na mtanange utaendelea. Hao wanawake wamelishwa sumu ya akili, hawatarudi nyuma. Labda Marekani isitilie mkazo zaidi.
 
Umejaribu fatilia haya maandamano ukubwa wake? Ayatollah mwenye amekubali kuwa maandamano yataongezeka zaidi hivyo vikosi vya usalama vijipange haswaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nmekuwa nikifuatilia watayacrash na hayawezi kusambaa nchi nyingine. Ila ni mtazamo tu maana muda ndio utaamua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom