North Korea imerusha kombora hatari zaidi la balistiki juu ya Japan, raia wakimbilia haraka kujificha mashimoni!

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,920
15,607
Aljazeera yasema North Korea imerusha kombora hatari zaidi la balistiki lililoelekezwa Japan, na kupita juu ya Japan. Kombora hilo lililotembea kwa spidi ya March 17 (mara 17 ya spidi ya sauti) lilionekana likijimwambafai kwa kukaa angani kwa zaidi ya dakika 20.

Aidha, Japani imelalamika kuwa kombora hilo limezua taharuki kubwa nchini Japan, baada ya kupelekea vingo'ora vya shambulizi la makombora kusikika Japan huku wajapan wakikimbilia kujificha kwenye mashimo (mahandaki) kama panya wanavyokimbilia kwenye mashimo yao kuokoa maisha yao wanapokurupushwa na paka. Sambamba na hilo pia usafiri wa treni ulisitishwa.
====

SmartSelect_20221004-102453_Chrome.jpg
Screenshot_20221004-102600_Chrome.jpg

Screenshot_20221004-103110_Chrome.jpg
 
Aljazeera yasema North Korea imerusha kombora hatari zaidi la balistiki lililoelekezwa Japan, na kupita juu ya Japan. Kombora hilo lililotembea kwa spidi ya March 17 (mara 17 ya spidi ya sauti) lilionekana likijimwambafai kwa kukaa angani kwa zaidi ya dakika 20.

Aidha, Japani imelalamika kuwa kombora hilo limezua taharuki kubwa nchini Japan, baada ya kupelekea vingo'ora vya shambulizi la makombora kusikika Japan huku wajapan wakikimbilia kujificha kwenye mashimo (mahandaki) kama panya wanavyokimbilia kwenye mashimo yao kuokoa maisha yao wanapokurupushwa na paka. Sambamba na hilo pia usafiri wa treni ulisitishwa.
====

View attachment 2376790View attachment 2376795
View attachment 2376802
Kuna raha yake dunia kuwa na vichaa kama hawa
 
Kwani objectives za Marekani+Japan+South Korea kupoteza pesa nyingi kila mwaka kufanya mazoezi ya kivita ya pamoja huwa nini, ikiwa nchi hizo tatu kupiga hata risasi moja tu nchini North Korea huwa hazipigi!
Nimeuliza objective ya Korea kask kurusha makombora mpaka kuleta taharuki kwenye nchi nyingine, hilo ndo lilikuwa swali hahaha.
 
Aljazeera yasema North Korea imerusha kombora hatari zaidi la balistiki lililoelekezwa Japan, na kupita juu ya Japan. Kombora hilo lililotembea kwa spidi ya March 17 (mara 17 ya spidi ya sauti) lilionekana likijimwambafai kwa kukaa angani kwa zaidi ya dakika 20.

Aidha, Japani imelalamika kuwa kombora hilo limezua taharuki kubwa nchini Japan, baada ya kupelekea vingo'ora vya shambulizi la makombora kusikika Japan huku wajapan wakikimbilia kujificha kwenye mashimo (mahandaki) kama panya wanavyokimbilia kwenye mashimo yao kuokoa maisha yao wanapokurupushwa na paka. Sambamba na hilo pia usafiri wa treni
Yaaani hawa majirani wamekaa karibu na chizi haswaaa

Inawabidi wakae kwa kutulia na kwaakili nyingi maana kupambana na chizi unahitaji mbinu haswaa.
 
Hii habari niliiona Jana Al Jazeera.

North Koreans are very serious.

Kombola limekatiza juu ya Japan na kwenda kupiga dummy Target upande wa pili huko.

Hii maana yake Ni kwamba hapo Japan hapako salama Tena, North Korea wana kombola la kupiga popote hapo Japan kwenye base za mazajuni USA.
 
Back
Top Bottom