International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Leo Alhamis Uzinduzi huo ulishindwa wakati wa utengano wa hatua ya pili, afisa wa kijeshi wa Korea Kusini aliiambia Yonhap Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu (ICBM) kama sehemu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Haya kumekucha Ulaya baada ya kujazwa upepo na USA sasa wanapambana misituni kuokoteza kuni kwa ajili ya kupasha nyumba hasa ikizingatiwa msimu wa baridi ndio umekaribia. Putin anawarudisha enzi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ubelgiji na Ufaransa Wamekuwa wakivuna shamba la Madini la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kulifaidi pasipo kupanda kitu. Nchi ya Congo ni moja katika ya nchi duniani zenye utajiri mkubwa wa...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii Na serekali ya Kongo...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
By Rajeev Ramachandran Nov 2/2022 IT’S no longer a news that Cochin International Airport, one of the busiest airports in India in terms of international traffic, is running fully on solar...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa. Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe...
1 Reactions
7 Replies
667 Views
Iran wanataka kudiriki kuvamia kule ambako ndiyo chimbuko la dini ya Mwarabu, japo Marekani wamesema watailinda Saudia kwa vyovyote vile. ========= Saudi Arabia has shared intelligence with...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa. Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Gianna Amani Wadau mbalimbali wameeleza kuwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kinajali mstakabali wa watu wote duniani, amani haki na ushiriki wa pamoja katika kutatua changamoto...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Elon Musk amevunja bodi ya Twitter na kujifanya "mkurugenzi pekee" wa kampuni hiyo. Wanachama wote wa awali wa bodi hiyo wameondolewa kwenye jukumu hilo, na kumwacha Bw Musk pekee kama...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni...
3 Reactions
0 Replies
838 Views
Ndege hiyo ya UAV iliangushwa katika mji wa Raska, karibu na mkoa unaozozaniwa wa Kosovo. Wanajeshi wa anga wa Serbia wameidungua ndege ya kibiashara isiyo na rubani karibu na mpaka wa Kosovo...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Wajuvi karibuni na wanahistoria tupate elimu. Historia ya kumegwa Kosovo toka Serbia kwa msaada wa NATO na kumegwa kwa CRIMEA&Co(Luhansk,Donetsk,Donbass) kwa msaada wa Urussi.Je umegaji upi ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri rasmi nchi yake imepokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka serikali ya Marekani. The National Advanced Surface to Air Missile System...
13 Reactions
86 Replies
6K Views
Uchina yasema 'haitatafuta uzushi' Beijing ilijibu baada ya Mkakati mpya wa Kitaifa wa Ulinzi wa Washington kutaja Uchina kama tishio kuu la Amerika Uchina yasema 'haitatafuta ukuu wa ulimwengu”'...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Are you a foreigner and tired of using #Google #Maps to reach premises you desire in #Dar- es-salaam? Here a guy who will accompany you to all your movements and you will enjoy a new experience...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…