International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden. Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanaamini kwa namna fulani Republicans watapunguza misaada kwenda Ukraine, maana madude kama HIMARS yamewatesa sana..... Pro-Kremlin forces in Russia are hoping that the Republicans win control...
0 Reactions
6 Replies
885 Views
Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Wasichana hao katika Jimbo la Zamfara wamesema waliruhusiwa kuoga mara 5 tu ndani ya miezi mitano waliyokuwa mateka na tena hawakutakiwa kutumia sabuni. Watekaji walitishia kuwabadili wasichana...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Monday, October 31, 2022 Another leaked video has emerged to show that the World Economic Forum (WEF), led by the infamous globalist kingpin Klaus Schwab, is planning to unleash mass genocide as...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahakama ya Juu imewaachia huru wanaume 3 waliokutwa na hatia hiyo ikiwemo kumchoma moto msichana wa miaka 19 mwaka 2012. Kwa mujibu wa Majaji 3 wa Mahakama hiyo wamesema kesi ilikuwa na upungufu...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika. Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia...
7 Reactions
148 Replies
11K Views
Katika mwezi Oktoba pekee mauzo ya gesi ya Urusi yamepanda kwa asilimia 1.1 kutoka 4.3 ya kabla yake. Wateja wakubwa wa gesi ya Urusi ni mataifa ya Ulaya karibu yote. Katika kuiunga mkono Ukraine...
2 Reactions
5 Replies
871 Views
CHINA YARUSHA MAKOMBORA KARIBU NA TAIWAN China imerusha makombora karibu na Taiwan ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kijeshi kufuatia ziara ya Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi katika kisiwa...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwa mara nyengine kwamba Marekani itailinda Taiwan endapo kutatokea "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" na China. Akizungumza katika mahojiano ya chombo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo...
0 Reactions
3 Replies
722 Views
Angalia yanayo endelea Congo, viongozi wanashindwa kuambiana ukweli kwamba we fulani ndio chanzo na tuna ku suspend kwa muda mpaka utie adabu, Hilo halipo kwa sababu ni jumuia zimekaaa kubebana na...
3 Reactions
4 Replies
521 Views
Familia za Watoto 70 waliofariki kutokana na Majeraha ya Figo yaliyohusishwa na dawa za kutibu kikohozi zilizotengenezwa nchini India, zimekataa fidia ya Dola za Marekani 20,000 sawa na zaidi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Kulingana na mzozo uliopo kwa sasa kati ya DRC na Rwanda juu ya tuhuma za Serikali ya Reanda kuwa support waasi wa M23! Hali ya mzozo imeendelea baada ya DRC kurusha mizinga kadhaa...
7 Reactions
113 Replies
9K Views
Mwaka huu mwezi wa 6 mkuu wa kikundi cha maji maji alituma video kwenye mtandao wa Facebook akiomba raisi wa Kongo ampe vita hivyo yeye na kundi lake wakasambaratishe Rwanda kwa siku 7 tu Na...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kutumia demokrasia watu wenye sifa mbaya kiutawala na ambao wamewahi kuzitiia nchi zao kwenye mizozo wamekuwa wakirudi madarakani kwa kasi.Mmojawapo ni Benjamin Netanyahu wa Israel. Muda...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu habari.. Hali inazidi kuwa Tete Kati ya DR Congo na Rwanda baada ya Rais Felix Tshisekedi kuwataka Vijana waji mobilise kwenye Vikundi kwa ajili ya mapambano na Rwanda.. Source: BBC👇
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni drone maarufu kamikaze au suicide drone ,wapinzani walivyosikia walichukulia vitu vidogovidogo sana,genius engineer wa Russia wakajifungia waka study wakaviongezea uwezo hasa katika final...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…