Je, Vita kati ya Rwanda na DR Congo vinanukia?

Je, Vita kati ya Rwanda na DR Congo vinanukia?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Habari,

Kulingana na mzozo uliopo kwa sasa kati ya DRC na Rwanda juu ya tuhuma za Serikali ya Reanda kuwa support waasi wa M23!

Hali ya mzozo imeendelea baada ya DRC kurusha mizinga kadhaa mpakani mwa Rwanda

Rwanda yaahidi kujibu mashambulizi!

Swali? Je kuna uwezekano wa vita kutokea?

Kama itatokea je nchi zipi zitasimama upande wa Rwanda na zipi zitasimama upande wa DRC?

IMG_1728.jpg

NB: Uzi huu hauna lengo la kusupport mzozo wala kuchochea vita ila ni kufikirika tu
 
Rwanda inaenda kuishangaza dunia kama kweli hii vita ikitokea
Dunia ipi itakayomshangaa Rwanda kwa kuipiga Congo?

Kwa hali waliyonayo wacongo, sidhani kama wanaweza hata kupigana na Malawi. Kama Rwanda wako vizuri, wakajipime hapo Uganda tuone uwezo wao. Sio kazi tu kutumia waasi kudestabilize Congo ili waibe madini yeye na mabeberu wake.
 
Vita ni mwendelezo wa siasa. Ukimsoma Tsu zu na majemedari wengi wa vita wote husema fact mbili kubwa za kushinda vita ni siasa na diplomacy hasa siasa ndani na diplomacy kwa majirani.

Rwanda wajue Txhisekedi siyo Mabutu. Then Watathimin diplomacy ya DRC kwa Sasa.

Wakijichanganya tu wameliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom