International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwandishi E Jean Carroll amemshtaki Rais wa Zamani, Donald Trump kwa madai ya kumbaka katika Miaka ya 1990, pia ameshtaki kwa kumkashifu baada ya kumshutumu kwa kusema uwongo alipojitokeza kuhusu...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano kuhusu mjadala wa mapendekezo ya mageuzi ya uchaguzi ambapo wabunge walikuwa wakibishana suala la kuzingatia uwakilishi sawia katika uchaguzi ujao wa...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Huko South Korea kuna picha zimeonekana bwana kiduku akimpleka binti yake sehemu ya kurusha makombora. Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na samaki mkunje kabla hujamkaanga. Mtoto huyu inaonesha...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Mahakama ya Kijeshi imetoa adhabu hiyo kwa Afisa wa Polisi aliyekutwa na hatia ya kumchoma Visu Mfanyabiashara Abdifatah Abdullahi Ali hadi kusababisha kifo chake Hukumu imesomwa na Meja Mohamed...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Na Gianna Amani Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa...
1 Reactions
1 Replies
857 Views
New WHO pandemic treaty which is in final stages, would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World, warns Dr. Francis Boyle Tuesday, November...
1 Reactions
1 Replies
927 Views
Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Nikatika kuunga juhudi za waandamanaji. tafadhali israel na marekani ingilieni kati hilo swala. maayatola watawamaliza wananchi wao.
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Maandamano yanaendelea, raia wa Iran wamekubali kuendelea kuuawa na serikali yao inayopambana kumpigania "mungu" wa waislamu. Hii yote ilitokana na tukio la mwanamke kuuawa kisa kipande cha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Every once in a great while a highly radioactive truth bomb gets dropped that changes everything—EVERYTHING! Well, a JFK truth bomb just exploded and the Internet is now experiencing the massive...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Boko Haram Fighters Kill 10 Chadian Soldiers Near Nigeria Border Boko Haram militants killed at least 10 Chadian soldiers in an attack on a military unit in Lake Chad province near the Nigerian...
0 Reactions
1 Replies
601 Views
Kitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali ya kijeshi ya Mali Jumatatu ilipiga marufuku shughuli za mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa au kuungwa mkono na Ufaransa, ikiwa ni pamoja na mashirika ya kibinadamu, huku kukiwa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ethiopia imeeleza kuwa inatarajiwa kuingiza Dola Milioni 100 (Tsh. Bilioni 232) kwa mwaka kutokana na biashara hiyo, tamko lililotolewa wiki moja baada ya kusaini mkataba huo wa kuuza umeme kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Gianna Amani Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu...
1 Reactions
1 Replies
687 Views
Germany To Withdraw Troops From Mali By May 2024 Germany's government has decided to start withdrawing its troops from Mali in mid-2023, with the pullout to be completed by May 2024, several...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Waigizaji hao wa kike, Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wanashikiliwa wakidaiwa kwenda kinyume na mamlaka kwa kutovaa mavazi ya kufunika vichwa vyao hadharani na kuunga mkono maandamano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…