Urusi yaendeleza mashambulizi ya anga huko Ukraine

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,786
Reaction score
35,764
Leo tena naona kama kawaida makombora ya Urusi yanaendelea kurindima katika miji ya Ukraine.

Je hii mifumo ya Patriot ya Marekani haipo? Au mibovu?

My take:

1. Nashauri mama Samia ampigie simu rais wa Ukraine amshauri akubali hii vita iishe maana anawabebesha mzigo mzito wa madeni wananchi wanyonge wa Ukraine.

2. Ukiona mpaka vyombo vya mabeberu vinaripoti mashambulizi ya Urusi ujue hali ni mbaya.

Source: Death toll from Russian attack on Dnipro rises to 20
 
Ili hii vita iishe Zelensky anatakiwa auwawe kwanza. Huyu hana akili kwa sababu sikuona mantiki ya Ukraine kutaka kujiunga NATO. Kwa uelewa wangu mdogo NATO kwa asilimia kubwa ni Marekani. Ieleweke kuwa Marekani huwa anafanya mambo kwa maslahi yake na linapokuja suala hilo urafiki huwa anaweka pembeni.
 
WA kufa sio Tu zelensky hata pia wewe ilitakiwa ufe Kwa bao lako kumwagiwa chooni tena Choo cha jumuhiya uliwe na mende ufe bwege wewe
 
Leo tena naona kama kawaida makombora ya Urusi yanaendelea kurindima katika miji ya Ukraine.

Je hii mifumo ya Patriot ya Marekani haipo? Au mibovu?

My take:

1. Nashauri mama Samia ampigie simu rais wa Ukraine amshauri akubali hii vita iishe maana anawabebesha mzigo mzito wa madeni wananchi wanyonge wa Ukraine.

2. Ukiona mpaka vyombo vya mabeberu vinaripoti mashambulizi ya Urusi ujue hali ni mbaya.

Source: Death toll from Russian attack on Dnipro rises to 20
Mifumo ya Patriot haita simamisha mashambulizi Ya Urusi kule Ukraine....itaendelea now .TUTAFUTE SULUHISHO LA KUACHA KUUWA WATU NA WATOTO WASIO na HATIA ni Dhambi kubwa sana na UJINGA hasa kwa WANAO PIGANA .

Tunamtaka mmarekani aache kuwa shetani wa kuchochea vita na kusababisha wenzake wapigane
.....katika dunia hii sio kila mtu anapenda kuwa mtumwa wa Marekani na UK

CHINA amekaataa
URUSI amekataa
NORTH korea amekataa
IRAN amekataa

Sasa mmarekani anaangalia awafanye nini?? Hawa ili awatawale,

China (tutamdhoofisha kwa kuchochea vita na Taiwan tumpe silaha TAIWAN ili apigane na china tumshushe nguvu) kwa propaganda ya democracy na haki za binadamu

URUSI (tumpe silaha Ukraine ili tumshushe nguvu urusi) kwa propaganda ya democracy na haki za binadamu

North korea (tumpe silaha south korea ili wapigane tumshushe nguvu NORTH KOREA) (same propaganda)

IRAN (tuanzishe maandamano ili TUPINDUE UONGOZI tupate uongozi wa kukubali kuwa CHINI ya MAREKANI na UK)Kwa propaganda ya HAKI ZA BINADAMU

AMBAYE ANAMSHABIKIA MAREKANI ANAASHIRIA KWAMBA ANAPENDWA UTAWALIWA WA MMAREKANI NA MUINGEREZA, PIA wanatengeneza vizazi vya MASHOGA na VIZAZI vya KUWASAWAZISHA WANAUME NA WANAWAKE wawe na nguvu saWa knowing that WOMEN are weak MEN must be weak like WOMEN by promoting HAKI SAWA HAKI ZA MASHOGA HAKI ZA BINADAMU (being against God) and there are a lot of them you will see them shouting at me

SASA wakaleta MEDIA ZAO CNN na BBC ili kuwashika masikio watu wa DUNIA kwa njia ya habari zenye propaganda sio mbaya huwa MNAONA WANASEMA LETA SOURCE ya HABARI YAKO knowing that they dominate the MEDIA (BBC & CNN), some of them will say that I'm the dictator..

WAKALETA MISEMO YAO , no research no right to speak TO BLIND YOU kuuona UOVU WAO, wanaofanya Kwakuwa hujathibitisha eti huna haki ya kuongea kwa kuwa mambo yao wanayafanya kwa Siri...utashindwa tu kudhibitisha...

si ajabu wakaleta na maneno CONSPIRACY THEORIES....

NOW WAR IS money LET USA keep on MAKING MONEY by the BLOOD of UKRAINIANS and RUSSIANS ....because they accepted to make USA very RICH ..

The DEVIL IS WORKING

Learn GOOD things FROM USA and Learn Good things from USA enemies , EVERONE IS WRONG SOMEWHERE WE ARE ALL HUMAN BEINGS we need to accept that both USA & Ukraine & RUSSIA mistakes made this war HAPPEN

LOST DREAM
 
Hii Vita Urusi ananufaika nayo sana, sarafu inapanda Mara dufu, mauzo ya Gas, Almasi, Mafuta, Zahabu, n.k ni kwa sarafu yake na soko amelitoa Ulaya na kuwapangia utaratibu autakao. Hawa WAKUBWA wanajuana, Ukraine ni maala pa kutupia mabomu yaliyojichokea. Wakisha lipua wanarudi kununua kama Chuma chakavu hili waunde Vission mpya.
 
Mifumo ya Patriot haita simamisha mashambulizi Ya Urusi kule Ukraine....itaendelea now .TUTAFUTE SULUHISHO LA KUACHA KUUWA WATU NA WATOTO WASIO na HATIA ni Dhambi kubwa sana na UJINGA hasa kwa WANAO PIGANA .

Tunamtaka mmarekani aache kuwa shetani wa kuchochea vita na kusababisha wenzake wapigane
.....katika dunia hii sio kila mtu anapenda kuwa mtumwa wa Marekani na UK

CHINA amekaataa
URUSI amekataa
NORTH korea amekataa
IRAN amekataa

Sasa mmarekani anaangalia awafanye nini?? Hawa ili awatawale,

China (tutamdhoofisha kwa kuchochea vita na Taiwan tumpe silaha TAIWAN ili apigane na china tumshushe nguvu) kwa propaganda ya democracy na haki za binadamu

URUSI (tumpe silaha Ukraine ili tumshushe nguvu urusi) kwa propaganda ya democracy na haki za binadamu

North korea (tumpe silaha south korea ili wapigane tumshushe nguvu NORTH KOREA) (same propaganda)

IRAN (tuanzishe maandamano ili TUPINDUE UONGOZI tupate uongozi wa kukubali kuwa CHINI ya MAREKANI na UK)Kwa propaganda ya HAKI ZA BINADAMU

AMBAYE ANAMSHABIKIA MAREKANI ANAASHIRIA KWAMBA ANAPENDWA UTAWALIWA WA MMAREKANI NA MUINGEREZA, PIA wanatengeneza vizazi vya MASHOGA na VIZAZI vya KUWASAWAZISHA WANAUME NA WANAWAKE wawe na nguvu saWa knowing that WOMEN are weak MEN must be weak like WOMEN by promoting HAKI SAWA HAKI ZA MASHOGA HAKI ZA BINADAMU (being against God) and there are a lot of them you will see them shouting at me

SASA wakaleta MEDIA ZAO CNN na BBC ili kuwashika masikio watu wa DUNIA kwa njia ya habari zenye propaganda sio mbaya huwa MNAONA WANASEMA LETA SOURCE ya HABARI YAKO knowing that they dominate the MEDIA (BBC & CNN), some of them will say that I'm the dictator..

WAKALETA MISEMO YAO , no research no right to speak TO BLIND YOU kuuona UOVU WAO, wanaofanya Kwakuwa hujathibitisha eti huna haki ya kuongea kwa kuwa mambo yao wanayafanya kwa Siri...utashindwa tu kudhibitisha...

si ajabu wakaleta na maneno CONSPIRACY THEORIES....

NOW WAR IS money LET USA keep on MAKING MONEY by the BLOOD of UKRAINIANS and RUSSIANS ....because they accepted to make USA very RICH ..

The DEVIL IS WORKING

Learn GOOD things FROM USA and Learn Good things from USA enemies , EVERONE IS WRONG SOMEWHERE WE ARE ALL HUMAN BEINGS we need to accept that both USA & Ukraine & RUSSIA mistakes made this war HAPPEN

LOST DREAM
I appreciate you...

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Urusi hovyo sana, hana hicho ulimwengu ulikuwa unaamini!
Yaani kachapwa sasa anaua watu wasio na hatia kwa mabomu!
Ashuke ardhini akutane na kichapo tena! Shetani mkbwa!
 
Zelensky kafanya kosa kubwa duniani na mbinguni, kaingiza nchi nzuri ya Ukraine katika vita ambavyo hakuna sbb ya vita, yaani Zelensky unataka kujiunga na NATO? Umeua nchi ya Ukraine sbb ya ujinga wako, NATO ni 95% U.S.A, yaani adui wa Russia unataka kumleta mlangoni? Hii vita wala isingetokea, sbb ya Rais comedian, dhaifu ndio maana kadanganywa hadi kaingia vitani, Ukraine inateketea.
 
Back
Top Bottom