Kwanini serekali wanatumia nguvu nyingi kubagua sisi watu ambao tumetoka katika mikoa ya waswali.
Yaani kukitokea mtu yeyote ambaye ametoka katika mkoa wa waswali na akawa mpinzani anapewa uraia...
URUDISHWAJI WA MAHUSIANO MWEMA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN KUTAIFANYA SAUDIA KUJIUNGA NA BRICS
Saudia ina nafasi nzuri kwa kujiunga na Brics kutokana na kurudisha uhusiano mwema na mpinzani...
Wengi bado hawajaelewa kwanini Urusi hatumii Nguvu kubwa kupigana huko Ukraine anarelax hizi ndo sababu hadi mabeberu wameshamshtukia.
1. Urusi anarefusha hii vita kwa maksudi akijua ni jinsi...
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi...
Mimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter!
Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA!
NB: Taifa...
Marekani yakiri kuwa mfumo wa Patriotic hautoweza kuisaidia Ukraine kuzuia makombora yenye kasi ya Russia
THE PATRIOTS AIR DEFENCE SYTEM WILL NOT HELP UKRAINE AGAINST RUSSIAN CRUISE MISSILES...
Buhari ametumia miaka yote serkalini kujaribu kuifanya nchi ya nigeria iwe na utamaduni wa mashariki ya kati.
Nigeria inafanya uchaguzi hivi karibuni na kwa makusudi amempa mwislamu mwenzake...
Branch Davidians lilikuwa kundi la kidini lililojiengua kwenye dhehebu la Ki-adventist baada ya Bwana Houteff kupishana na viongozi wa kisabato kwenye mambo fulani fulani. Kundi hili lilianzishwa...
Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele...
Wana siasa wakongo wanalazimisha wananchi wa Kongo kumchukia moise katumbi kwa lazima
Viwanja viwili vya Kongo vimekataliwa na shirikisho la mpira caf kuchezewa michezo ya kimataifa kwasababu ya...
Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari...
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka...
SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.
Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine...
Katika masaa saba yaliyopita wale wanaanga wa crew 5 walianza safari ya kurudi nyumbani duniani baada ya kumaliza mission yao ya miezi sita katika kituo cha anga za mbali
Kila kitu kilikuwa sawa...
Bosi wa Wagner Prigozin sasa ametangaza rasmi kuikalia Bakhmut. Hata mkuu wa NATO naye japo hajasema kwa wazi naye amekubali kazi ya Bakhmut imeisha kwani yeye ametabiri kuanguka kwa Bakhmut baada...
MAMLAKA YA MAREKANI YAYAOMBA KWA SIRI MAKAMPUNI MAKUBWA YA BIASHARA KUENDELEA KUSAFIRISHA MAFUTA YA URUSI.
Waswahili husema, "mbio za panya, uishia ukingoni". Marekani inaanza kukubali kuwa Urusi...
Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu)...
Rais Cyril Ramphosa amesema hatambui Maisha ya Kifahari ya Mawaziri baada ya Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha Democratic Alliance (DA) John Steenhuisen, kumhoji ikiwa ni haki kwa Mawaziri...
Elon Musk's Neuralink's request to begin testing brain chips in humans has been rejected by the FDA, citing safety risks including overheating and potential damage to brain tissue.
The company...
AZERBAIJAN YAFYATA MKIA KWA IRAN.
Balozi wa Azerbaijan Mukhutar Muhammadov amekataa katakata kuhusiana na taarifa za nchi yake kuipa Israel ardhi yake kuishambulia Iran.
Balozi huyo aliyasema...