Iran na Saudi Arabia kujiunga na BRCS muda wowote kuanzia sasa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
URUDISHWAJI WA MAHUSIANO MWEMA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN KUTAIFANYA SAUDIA KUJIUNGA NA BRICS

Saudia ina nafasi nzuri kwa kujiunga na Brics kutokana na kurudisha uhusiano mwema na mpinzani mkubwa ambaye alikuwa Iran na nchi hizo mbili zina nafasi kubwa ya kujiunga na Brics huku pesa ya Uchina kwasasa inatumika katika soko la biashara na kuachana na pesa ya Marekani(dollars).

Saudi Arabia na Iran zitajiunga na BRICS muda wowote kuanzia hivi sasa huku miamba hiyo mikubwa yenye utajiri wa mafuta duniani zikiwa mbioni kuunda pesa yao itakayotumika kwenye soko la biashra na kuibwaga dola

Pia
NDEGE ZA KIVITA ZA IRAN ZARUKA MPAKANI KATI YA AZERBAIJAN NA IRAN.

Ndege za kivita za Iran leo hii asubuhi ziliruka kwenye mpaka kati ya Azerbaijan na Armenia huku pia zingine zikiruka mpakani kati ya Azerbaijan na Iran kilometers 3 kutoka mpakani mwa nchi hizo mbili.

Waziri wa mambo ya nje wa Azerbaijan aliupigia simu ubalozi wa Iran uliopo nchini Azerbaijan ili uweze kutoa maelezo zaidi kuhusiana na ndege hizo za kivita kuruka kwenye mipaka ya Azerbaijan.

UHUSIANO MWEMA WA IRAN NA URUSI NI JINAMIZI KWA MAREKANI.

Marekani imeingiwa na wasiwasi mkubwa kuhusiana na ukaribu mkubwa kati ya Urusi na Iran has a pale Marekani inavyoishutumu Iran kuipa silaha za kivita Urusi huku Urusi nayo ikiwa bega kwa bega na Iran katika Ushirikiano wa uundwaji was silaha pamoja na masuala ya kijeshi.

1678555458586.jpg
 
Wewe ukiambiwa ulipwe kwa dola, rubo au yuan utachagua pesa ipi?
Dedolarization= Discombobulation/dismantling/destruction/removal of dollar currency from earth surface as base for world bussness transaction and exchange
 
Biden ndio anguko la Marekani,washirika wachangamke kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani maana CIA wamenuna na kukuna vichwa babu si msikivu lakin Bi Harris Kamala alimwambia babu lakini Babu alifanya mapuuza kutokana na asili yake bi Kamala
 
Ila pia hiyo ni karata nzuri kwa mzee 🎺 Trumpet naona akirudi white house kwa karata ya Ukraine 😂😂
 
Ila pia hiyo ni karata nzuri kwa mzee 🎺 Trumpet naona akirudi white house kwa karata ya Ukraine 😂😂
Babu ameidhinisha misaada mingi mno kwenda Ukraine na hawaoni dalili njema kwao, Republican wanaongoza seneti wanagoma kuongeza misaada ya kijeshi na kiutu hivyo CIA wameungana na Republicans kimya kimya kunusuru Dollar yao inayofifia, na kukumbwa na majanga makubwa nchini mwao mafuriko,kimbunga nk
 
Mungu kaamua kuwaumbua wanafiki wa magharibi 😂
 
Mwishoni Babu ataumwa na kutochaguliwa Urais,mzee mawigi Trump njia nyeupee Jumba jeupe Pennyslaviana wakati Area 51 wamemchoka babu muda tu ,wakati Netanyahu anapiga chafya anavurugwa mno na Tehran na Riyadh
 
Bi Harris Kamala akija atataka kuongeza misaada na kuiponda Urusi na China ili aungwe mkono na ukanda wetu wa Mashariki , akiwa Afrika Kusini atafanya hivyo kushawishi kusini wamuunge mkono ili aongeze misaada ,kule Magharibi mchezo utakua ni huo nafikiri atacheza na kanda na nchi zenye ushawishi,mwishoni China nae na Urusi watasogea kutega sikio na watakuja na hoja nzito kuupinga ule mchezo uliolaaniwa na Mungu wakati huo watawekeza kwenye Biashara na miundombinu kumwadabisha Mmarekani
 
Naona Waziri wa Mambo ya nje wa China akipiga jaramba anamsoma Kamala nae aanze kututembela wakati wenzake wa Urusi na Iran ratiba zao ziko mezani Moscow na Tehran
 
Biden kaiharibu sana Marekani, atabaki kwenye historia mia nenda rudi
 
Back
Top Bottom