Hii iliyopo kwa sasa inadumu siku 21, ila kuna nyingine imeibuka yenye uwezo wa kudumu siku 49
---------------------------
Researchers claim they might have discovered a mutated coronavirus...
Baada ya Urusi kupigwa pini, imekua ikisafirisha mafuta kinyemela kwa kutumia meli za wavuvi, ndio kete iliyokua imesalia, zitasakwa zote.....
Putin's oil plans
In December 2022, The Financial...
Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%.
Inamaanisha kuwa bei...
Marais wote wawili wamekubaliana kwamba sheria za Umoja wa Mataifa (UN) lazima ziheshimiwe na kwamba vita vya Ukraine viishe kwa mazungumzo. Hapa Mchina atakua amemsaidia Putin apate pakutokea na...
Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.
Marekani na Uingereza walishindwa...
Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora.
Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa...
Wazazi nchini Ufaransa wanaweza kupigwa marufuku ku-post picha za Watoto wao kwenye mitandao ya kijamii iwapo muswada mpya uliowasilishwa wiki hii utapitishwa kuwa sheria.
Muswada huo utaipa...
ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol
===
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya...
Mahakama nchini #Chad imewahukumu ya kifungo cha maisha jela Wanachama 465 wa kundi la waasi la 'Front for Change and Concord in Chad' kutokana na Mauaji ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Déby...
Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'.
Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake...
Kauli ya Rais huyo wa zamani inakuja wakati Waendesha Mashtaka wakitarajiwa kukamilisha Mashtaka dhidi yake juu ya kutoa Rushwa ya Tsh. Milioni 300 ili kumnyamazisha Nyota wa Filamu za Ponografia...
Hii ndio Afrika.
Rais wa Senegal Macky Sall amekana madai kwamba Kubadili Katiba na Kugombea awamu ya 3 ni Kinyume na Katiba.
Wiki iliyopota Maelfu ya Waandamanaji Waliongia Barabarani kupinga...
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani...
Siasa mchezo mchafu
Na sijui kama rais wangu Moise Katumbi alishauriwa kabla ya kuingia kwenye siasa
Amejipanga kisawa sawa dhidi ya fitina hizi za wana siasa mbalimbali nchini.
Leo chama...
Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na...
Wakati mpango wa ziara ya raisi wa china ndugu XI ulipowekwa wazi viongozi wa Ukraine na Marekani walimuomba kiongozi huyo akifika Urusi amsisitize raisi Putin kusitisha vita ambavyo vimeshavuka...
Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa...
Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko.
Imeelezwa kijana...
Mamlaka zimesema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kutokana na Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku baadhi ya nchi kama Tanzania, Britain na Zambia zikiendelea kutuma...
Na Dinna Gahamanyi
BBC Swahili
Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani.
Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini...