Picha: Jean petter bemba
Jean Petter Bemba ameteuliwa kuwa mkuu wa majeshi na felix tshisekedi
Jean Pierre bemba Kabla hajateuliwa Alikuwa na nia ya kugombea urais...
Taratibu hiyo Crimea mtaitema tu, wizi wa ardhi ya watu ni laana.
An explosion in the north of occupied Crimea has destroyed Russian missiles being transported by rail, Ukraine's defence ministry...
Serikali ya Marekani kupitia Wizara ya Ulinzi, Pentagon, imesema kuwa itahamisha ndege vita mpya kutoka Mashariki ya Kati na kuzipeleka Ulaya na Asia, huku Zile za zamani zikipelekwa Mashariki ya...
Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola...
Mchawi mpe mwanao akulele, ndivyo unaweza kusema baada ya Rais wa Congo , Felix Tshesekedi, kumteua aliewahi kuwa kiongozi wa waasi bwana Jean Pierre Bemba kuwa waziri wa ulinzi.Hii tafsiri yake...
Wataalamu wametahadharisha kwamba ubora wa mbegu za kiume miongoni mwa wanadamu umekuwa ushuka pakubwa, na kuathiri uzazi.
Hili linasababishwa sana na kula vyakula vya kisasa vyenye mafuta mengi...
Walioteuliwa ni pamoja na Jean-Pierre Bemba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais kwenye Serikali ya #JosephKabila na kiongozi wa Waasi kuwa Waziri wa Ulinzi. Bemba aliwahi kushikiliwa na Mahakama ya...
Benki na taasisi za fedha barani Ulaya na Marekani zimeanza kuguswa na mtikisiko wa uchumi ambao unazikumba benki kadha mfano Uingereza na Uswisi nchini Uingereza benki zimeamua kuongeza kiwango...
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha...
Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni.
Hapo kabla, Uingereza...
Historia inaonesha kwamba Dola kubwa duniani zimewahi kusambaratika. Lakini katika zama zetu, Marekani ni Dola kubwa Ulimwenguni.
Huwa najiuliza ikitokea nchi ya Marekani ikasambaratika...
Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake.
Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza...
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38.
Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour.
UK yajitetea kuwa silaha hizo...
Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000
Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble...
Nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa mhathirika mkubwa wa Magharibi, yaain nilikuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa Marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa Magharibi...
Vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa Urusi, hakuna taifa ambalo lingeweza kuvistahimili kama ilivyoonyesha Urusi. Hata mataifa ya magharibi ikiweo Marekani yameachwa midomo wazi, hawakutegemea...
March 22, 2023
The International Criminal Court in The Hague (ICC) has recently issued an arrest warrant for Russian President Vladimir Putin.
He stands accused of being responsible for, among...
Muswaada mpya uliopitishwa na bunge la Uganda na sasa kusubiria saini ya Rais wao M7 italeta mtafaruku mkubwa sana katika nchi hiyo maskini na tegemezi.
Marekani kwa mwaka inaipa Uganda msaada wa...
Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen kufanya ziara nchini Marekani huku China ikilaani kitendo hicho cha kuitaka kuitenga Beijing na kisiwa hicho chenye utawala wa ndani.
Katika ziara hiyo Weng atasimama...
Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu'...