International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hali ya taharuki imetanda katika Chuo cha Tiba cha Sri Siddhartha (SSIMS) baada ya mzozo mkali kuibuka darasani kati ya Profesa mmoja aliyetambulika kwa jina la Mohammed na mwanafunzi wake wa...
2 Reactions
13 Replies
335 Views
Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa...
4 Reactions
14 Replies
399 Views
Polisi nchini Nepal wamemkamata aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo KP Sharma Oli na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo Ramesh Lekhak kutokana na tuhuma zinazowakabili za kuhusika...
4 Reactions
5 Replies
241 Views
Vyanzo vya upinzani vya Irani vinaripoti: Ayatollah Mohammad Taqi Jannati, kaka yake Ayatollah Ahmad Jannati, aliyekuwa mshirika wa karibu wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei, ameangamizwa...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza kuwa Donald Trump atakuwa Rais wa kwanza wa Marekani madarakani kuwa na saini yake kwenye noti za nchi hiyo. Saini ya Trump itaonekana kando ya saini ya...
3 Reactions
7 Replies
372 Views
Uwanja wa ndege-vita huko Iran umeshambukiwa na ndege-vita za Israel
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Niaje waungwana Leo ndio nimeuona ujasiri wa Netanyahu kupitia picha hii, jamaa hana hofu yoyote ya mapambano baada ya kuvaa gwanda na kuliongoza jeshi lake katika vita yao na Iran. Aisee kwa...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel. Netanyahu kaleta hofu Iran...
2 Reactions
8 Replies
204 Views
Chemical Ally alikuwa bingwa wa propaganda wa Iraq miaka hio . Wakati Iraq inabondwa yeye anasema tunakaribia kuzimaliza Jeshi la Marekani Sio rahisi kikosi Cha makomandoo kiwe sehemu mmoja...
5 Reactions
36 Replies
623 Views
Rais wa Ujerumani, Frank Walter Steinmeier, ameonya kuwa kurejea kwa Donald Trump Madarakani kwa muhula wa pili kumezua mpasuko mkubwa katika Uhusiano wa Kimataifa, hususan kati ya Ulaya na...
6 Reactions
11 Replies
516 Views
Mahakama ya Katiba ya Kongo-Brazzaville imetangaza kuwa Rais Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, kuwa ameshinda uchaguzi kwa asilimia 95, na hivyo kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa...
1 Reactions
0 Replies
188 Views
  • Redirect
Mahakama ya Katiba ya Kongo-Brazzaville imetangaza kuwa Rais Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, kuwa ameshinda uchaguzi kwa asilimia 95, na hivyo kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa...
1 Reactions
Replies
Views
The Government of Zimbabwe has confirmed that 15 Zimbabwean nationals have died after being trafficked into foreign combat roles in the ongoing Russia-Ukraine War, while 66 others remain actively...
2 Reactions
11 Replies
320 Views
Marekebisho ya 22 ya Katiba ya Marekani yaliundwa kuzuia jambo hili. Sasa, mbunge mmoja anataka kuyabadilisha. Mbunge wa chama cha Republican, Andy Ogles kutoka jimbo la Tennessee, amewasilisha...
6 Reactions
16 Replies
297 Views
BENJAMIN NETANYAHU AKITOA HOTUBA BAADA YA ALI LARIJANI KUUAWA NA JESHI LA ISRAELI March 17, 2026 Tafasiri ya hotuba yake. Kinachotokea wakati wa vita ni kile kinachoitwa uthabiti (resolve) na...
9 Reactions
43 Replies
979 Views
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana. Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ? Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa...
4 Reactions
37 Replies
691 Views
Ni kweli kwa sasa Iran inatumia BeiDou na imeachana na GPS ? Kwa nini ? Na kama kweli ni toka lini ?
1 Reactions
7 Replies
177 Views
Toa onyo Toa muda Ongeza muda kidogo Adui acheke Halafu piga Hiyo ndiyo style ya Trump anapotaka kufanya maamuzi mazito. Venezuela chini ya Nicolás Maduro walipewa nafasi. Trump akasema: ondoka...
27 Reactions
109 Replies
2K Views
IRANI ameshafanya makosa makubwa sana kufanya majaribio ya makombora balestiki ya (intermediate-range ballistic missiles) Viongozi wa Irani hawatumii akili na wana mihemuko sana wanakurupuka...
13 Reactions
134 Replies
2K Views
Taarifa ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Tunaendelea kushambulia kwa nguvu malengo ya utawala wa kigaidi wa Iran. Jana usiku, tulimwangamiza Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa...
4 Reactions
19 Replies
537 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…