International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

#Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Takriban wavuvi 115 wanatibiwa katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, baada ya kutoka baharini wakiwa na vidonda vya maumivu kwenye ngozi. "Sio ugonjwa wa kuambukiza - haiwezekani", anasema Karamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Walipewa amri kuua yeyote hata awe mtoto, yaani Warusi na Waarabu ni hatari sana dunia hii wakija kuachiwa https://www.express.co.uk/news/world/1759416/Wagner-Group-commander-Bakhmut-war-crimes...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Mwanasiasa wa zamani wa India aliyepatikana na hatia ya utekaji nyara ameuawa kwa kupigwa risasi moja kwa moja kwenye TV pamoja na kaka yake. Atiq Ahmed, ambaye alikuwa chini ya usalama wa...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Ni miaka 20 imepita sasa tangu marekani aivamie Iraq kwa kile kinachosemekana Saddam Hussein alikuwa anamiliki silaha hatari za maangamizi ,anafadhili magaidi pia alikuwa anatesa raia wake, hivyo...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Pichani ni wananchi kwenye miji mbalimbali nchini Zambia wakiwa kwenye foleni za kununua unga wa mahindi. Kwa sasa Zambia inakabiliana na uhaba mkubwa wa unga wa mahindi maarufu kwa jina la MEALIE...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung. Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
G20 Chief Coordinator Harsh Vardhan Shringla By ANI India's G20 Presidency Chief Coordinator Harsh Vardhan Shringla on Monday said over 12,000 delegates from 111 countries have participated in...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
How the U.S. defrauds the World and buys its Allies 15 APRIL 2023 The U.S. is the only country that can print "unlimited" money and exchange it for real goods from other nations. This is due to...
1 Reactions
8 Replies
797 Views
Katika hali inayoonyesha kuwa uzayuni ni ufurutu mipaka uliokubuhu utawala wa Israel umewashambulia na kuwajeruhi makumi kadhaa ya wakristo wakiwa ibadani Jerusalem On Holy Saturday, Israeli...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Ndio maana huwa naaambia kuwa westerns wanasita kupeleka silaha zao Ukreine kwa kuogopa dhahama kama hizi Sitaki mseme ni propaganda angalia multilpe sources ntakuwekea hapa...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo. Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani...
9 Reactions
95 Replies
6K Views
Prigozhin, kiongozi wa kundi la mamluki wa Wagner mwenye ushawashi mkubwa katika siasa za usalama za Urusi ameitaka mamlaka ya Urusi kutangazia raia wa Urusi na dunia vita vya Ukraine vimeisha...
18 Reactions
35 Replies
4K Views
Idadi hiyo ni taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) ikielezwa kuwa imefikiwa baada ya mashambulizi ya siku 3 mfululizo kati ya Jeshi la Serikali na Wanamgambo wa Kundi la RSF. Wakati huohuo, Balozi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazalishaji wa Truck za Kamaz kule Urusi we anataka kufungua kiwanda cha ku assemble truck Congo ili ziwasaidie katika zila baraba zao. Kamaz ni moja ya magari magumu mno na yenye roho ya paka.
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…