Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani...
KashindeUpdates Elon Musk kupitia program yake ya Biotechnology Startup Neurallink wamefungua milango kwa binadamu wanaohitaji kuwa wa kwanza kufanyiwa majaribio ya kuwekewa kibanzi (Chip)...
Muhtsari
Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari...
Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China Jumanne ilitoa waraka wa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China”, ukisema miaka kumi iliyopita, Rais Xi...
Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila...
Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka unaoitwa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China.”
Kwa mujibu wa waraka huo, miaka kumi...
Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile
====
A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the...
Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike...
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...
Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel...
Felix tshisekedi anaenda kutangaza kuondoka kwa monusco ndani ya nchi ya kongo kwenye mkutano wa umoja wa mataifa.
Ili ulimwengu umuone shujaa wa hatari.
Wakati wiki kazaa nyuma ameua raia wa...
Akizungumza na Jarida la Jeune Afrique, Rais wa Rwanda, Paul Kagame amethibitisha kuwa atawania nafasi hiyo kwa mara ya 4 kwasababu Wananchi bado wana imani naye.
Kagame aliulizwa anachukuliaje...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wapiganaji wake wamefanikiwa kuukomboa mji wa Bakhmut na miji mingine miwili.
Zelensky ametangaza ukombozi wa mji wa Bakhmut uliofanywa na wanajeshi...
Kwamba drones zinaingia na kutoka zitakvyo, asema suluhu itafutwe itakayogharimu hela nyingi sana maana ni fedheha....
Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko is "thinking about...
Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo...
Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake.
Septemba 06, 2013 Elvis...
By Jaroslav Lukiv
BBC News
US President Joe Biden plans to give Ukraine advanced long-range missiles to help Kyiv with its ongoing counter-offensive, US media report.
They quote US officials...
Sitakosea kama nikimfananisha Marekani na mwanamke aliyeolewa, halafu ni malaya aliyekubuhu, ambapo akiwa katika udangaji wake hujitanabaisha kuwa hana mume ihali ni mke wa mtu.
Sasa unaambiwa...
BWANA YESU ASIFIWE
Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake.
NImefanya...
Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika.
Katika hotuba yake...
Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema yuko tayari kukaa meza moja na Mohamed Hamdan Dagalo ambaye ni Kiongozi wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) baada ya pande hizo mbili kuwa katika mapigano...