International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde. Kwa mujibu wa chapisho hilo...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa. Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza. Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Dah! ila kweli palikua na ulazima wa watu kufa hivi, HAMAS kweli hawana akili.... Every day in Gaza, the two biggest hopes are to stay alive and not receive word of another devastating loss. A...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jeshi la Israel limetoa salamu za Pole baada ya kombora lake kupiga kituo cha mpakani cha RAFAH upande wa Misri. Mara nyingi Israel hushambulia kituo hicho lakini upande wa GAZA. Kituo hicho ndio...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kambi za Marekani huko Syria na Iraq zimeanza kuchomwa kwa kasi huko Mashariki ya kati. Hali inazidi kuwa mbaya! Naskia kuna taarifa kuwa Marekani imepanga kuhamisha wanajeshi wake huko. Tayari...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote. Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema Israel ni taifa linalotumiwa na Mungu wa mbinguni kama Saa ya matimilizo ya Nabii mbalimbali Kwa sasa hakuna Jeshi la kuishinda Israel kwani waliwahi...
13 Reactions
125 Replies
6K Views
Written by Manjari Singh India is a land of captivating festivals that celebrate its rich cultural diversity, and the Rann Utsav in the Kutch region of Gujarat is undoubtedly one of the most...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, ushabiki wa kuigiza mavazi ya wahusika wa katuni aina ya anime umeendelea kuongezeka barani Afrika, na hata wadau husika wanasema Afrika inatarajiwa kuwa soko muhimu...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Tunajua hamupendi waislam na mnapenda Mayahudi ktk hivi vita vya Gaza kati ya waislam na mayahudi na washirika wake. Lakini angalau tumieni weledi kidogo ktk kuripoti. Jinsi mnavyoripoti basi...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Taratibu tutaongea lugha moja humu..... https://twitter.com/i/status/1716646861572849818 A senior leader of the Palestinian group Hamas has been arrested in the occupied West Bank following an...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo. Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Mamia ya raia wa Israel wameendelea kuandamana karibu na makazi ya raisi wa nchi hiyo wakitaka vitu viwili.Kwanza ndugu zao waliotekwa warudishwe na Benjamin Netanyahu aondoke madarakani kwa...
1 Reactions
6 Replies
898 Views
Ikumbukwe Mkuu wa majeshi , Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Taasisi ya Shin Bet inayohusika na Ujasusi wameomba radhi hadharani na kukiri kuwajibika kwa uzembe uliosababisha nchi yao kushambuliwa na...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
Mafanikio makubwa yamepatikana siku ya Ijumaa ya juzi ikiwa umebaki muda mfupi wapalestina wa Gaza waanze kufa kwa njaa na kiu. Siku hiyo ilitanguliwa na kikao cha pamoja kati ya viongozi wa nchi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko........... The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush. Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi...
1 Reactions
0 Replies
514 Views
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi. Ilipoingia 1978, November/December hadi...
15 Reactions
145 Replies
7K Views
Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…