Mkuu wa zamani wa Mossad anasema 'tulitembelea' eneo la nyuklia la Fordo la Iran 'mara nyingi'
Mkuu wa zamani wa Mossad Yossi Cohen akizungumza katika mkutano wa Shurat HaDin jijini New York...
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Zambia (ECZ), kesho Agosti 13, Wananchi Milioni 8, 786, 300 wa Zambia wanatarajia kushiriki katika moja ya haki yao muhimu zaidi katika demokrasia, haki ya...
HARARE, Zimbabwe — A deadly ferry disaster on Zimbabwe’s Lake Kariba has raised questions about transport regulation, safety enforcement and the vulnerability of rural communities that depend on...
Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel.
Iran imeripoti siku ya...
Wazambia wanatarajiwa kupiga kura August 13 katika uchaguzi mkuu wa urais unaotajwa kuwa kipimo kikubwa cha mageuzi ya kiuchumi ya serikali iliyopo madarakani dhidi ya ugumu wa maisha unaowakabili...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema mazungumzo kati ya Marekani na Iran yanatarajiwa kuanza Jumatatu baada ya kuamua kusitisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran ili kutoa nafasi kwa diplomasia...
Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba:
China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza...
habari ndiyo hiyo....................................Alikimbilia Rusia na famila yake. Cousin wake hakuweza kukimbia naye amhukumiwa kunyongwa. Leo aliletwa kweye cage kusomea hukumu
A Syrian...
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran, Mohammad Baqer Doulghadr:
Mradi Marekani haitabadilisha mwenendo wake, Mlango-Bahari wa Hormuz hautafunguliwa tena. Baraza Kuu la Usalama wa...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema itakuwa kosa kubwa sana Rais wa FIFA, Gianni Infantino akiondolewa madarakani, na kwamba huenda michuano ya Kombe la Dunia haitofanikiwa iwapo ataondolewa...
Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 5,250 ya Patriot na THAAD kwa Bahrain, Kuwait, Qatar na Falme za Kiarabu kama sehemu ya juhudi kubwa ya kujaza akiba ya ulinzi wa anga wa Ghuba.
Hatua...
Tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 7.4 limeikumba sehemu ya magharibi mwa Colombia, likisababisha uharibifu mkubwa wa majengo na vifo vya zaidi ya watu 100.
Tetemeko hilo lilitokea Jumatatu...
Wanajeshi wa Israeli kutoka Brigade ya 55, wakifanya kazi pamoja na kitengo cha uhandisi wa mapigano cha Yahalom chini ya amri ya Kitengo cha 91, walipata na kubomoa shimoni la chini ya ardhi...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alitoa maoni katika ufunguzi wa mkutano wa serikali leo. Maelezo Muhimu:
Hakika umegundua jambo la kuvutia: Iran inashambulia nchi zote katika eneo hilo...
Pentagon imesema kwamba makampuni ya ulinzi ya Marekani yaharakishe kwa kiasi kikubwa uzalishaji na usambazaji wa silaha, kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa akiba ya makombora na risasi...
Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia.
Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine.
Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na...
Raia wa Sudan nchini uingereza baada ya kumuona mtawala wa Dubei na makamu wa rais falme za kiarabu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum akikatiza mitaa ya London akizingirwa na jopo la walinzi...