Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga...
Russia will surround Europe with military bases
The Russian military and the Libyan National Army (LNA) of Khalifa Haftar have renewed contacts and relations.
According to reports, the parties...
Katika hotuba hiyo aliyoitoa leo alipokutana na members of the public chamber of Russia, Mr. Putin alisema mazito yafuatayo;
1. Taifa la Ukraine liliasisiwa kutokana sheria za iliyokuwa USSR...
The Israeli colonel says: We have a problem to store the bodies of Israeli soldiers, because they give off a very "unpleasant smell", while not a day has passed since they were killed!
06 November 2023
Rabat, Morocco
MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUINYAKUA SAHARA YA MAGHARIBI
Mfalme Mohammed VI ametoa hotuba ya kuadhimisha miaka 48 ya kufanikiwa kuirejesha koloni la Spain la...
Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi...
Nov 07, 2023 08:12 UTC
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kwamba serikali za nchi za Magharibi zimeliweka eneo zima la Magharibi mwa Asia kwenye ukingo wa vita vikubwa kwa hatua zao...
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo...
Suspected Boko Haram terrorists, on Sunday, attacked Zabarmari farmers while working on their rice fields in Mafa local government area of Borno State, killing over 15.
Awali Casa, a rice farmer...
Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe.
Baadhi ya...
Jumla ya mashirika ya misaada 18 yakiwemo ya UN leo yametoa tamko la pamoja kuibembeleza Israel isimamishe vita kutokana na kihoro cha maangamizi walichokiona.
Mashirika hayo yameweka pembeni...
Ukraine imethibitisha kwamba wanajeshi wake 19 wameuawa katika shambulio la makombora la Urusi lililofanywa katika mji wa Zaporizhizhia wakati wa sherehe ya kuwatunukia tuzo wanajeshi.
Rais...
Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV
Pendekezo la kununua magari...
Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni...
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza.
Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan...
Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza.
Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas
huku...
Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea...
Umoja wa Mataifa umesema siku ya Jumamosi kuwa watu milioni 4.4 duniani kote hawana uraia wa taifa lolote, ingawa idadi halisi huenda ikawa kubwa zaidi kutokana na watu hao "kutotiliwa maanani"...