International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe. NB: Majirani...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake. BREAKING 3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
14 Reactions
181 Replies
13K Views
πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡§πŸ‡¬πŸ‡§πŸ‡¬πŸ‡§πŸ‡¬πŸ‡§πŸ‡¬πŸ‡§πŸ‡¬πŸ‡§ Saa chache zilipita Ndege ya kusaka Nyambizi ya Uingereza (RAF Poseidon P8 anti-submarine) imeigundua Nyambizi ya Ki nyuklia ya Russia ikiwa katika pwani yake na kuzua...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Najua Watanzania Hatuna habari na bajeti ila tuko busy kuwafuatilia Dr Yahaya, Masoud Kipanya na Mwijaku Niwape tu taarifa kwamba askari 8 wa Israel wameuawa huko Rafah Leo kwa mujibu wa Al...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Hii kitu inaitwa Bavar 373 ni balaa na nusu wakuu. Hii walitengeneza baada ya kutokea figisu ya mabeberu kwani walipaswa kupewa mfumo wa ulinzi wa makombora wa S-300 kutoka Urusi na walikua...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo...
17 Reactions
80 Replies
3K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF limelaani vikali mauaji ya watoto 15 katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Taarifa ya UNICEF...
1 Reactions
3 Replies
761 Views
Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili...
1 Reactions
2 Replies
948 Views
Naam wakuu, wakati kile kifurushi Cha Dola billions 61 kutoka marekani kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine bado hakijafikisha hata miezi 2.,mataifa Saba yenye nguvu ya kiuchumi duniani...
0 Reactions
6 Replies
565 Views
Katika hatua ambayo imeonekana na wengi kama usaliti kwa watu wa Palestina, majenerali wa juu kutoka nchi kadhaa za Kiarabu, ikiwa ni pamoja na Bahrain, UAE, Saudi Arabia, Jordan na Misri...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka. China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka...
8 Reactions
95 Replies
5K Views
C Wizara ya Usalama wa Taifa imesema Maafisa Wawili wa Jeshi (Guo na Li) waliotakiwa kuziharibu nyaraka za siri takriban 200 waliziuza katika Kiwanda cha kuchakata taka kwa chini ya Dola 4 za...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya Urusi kupeleka Nyambizi na Meli za Kivita Marekani wameingiwa na uwoga na kuamua kupeleka ndege za Kivita Miami na zinashinda hewani ziki zunguka kwa hofu 🀣🀣🀣🀣🀣 #BREAKING -πŸš¨βš‘πŸ‡ΊπŸ‡Έ The...
15 Reactions
52 Replies
3K Views
Huyu Zakayo wa Kalenjin baada ya kupata mbolea ya bure kutoka wahisani wa Urusi sasa ameanza tena kuilaani Urusi!! Cheki alichokiandika[emoji1313] Russia's aggression against Ukraine is unlawful...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Hapa itatokea moja kati ya hayo mawili. M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali. Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo...
29 Reactions
182 Replies
13K Views
Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa. Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Maandamano makubwa ya mashoga yafanyika Ukraine wanajeshi wa Ukraine washiriki kikamilifu (LGBTQ parade in Kiev Ukraine) Sasa ndo naelewa kwanini mashoga wengi wanamchukia Putin na mashoga wote...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi....Inadaiwa ni Iran keshafanya yake. BREAKING 3 Israelis died in a car explosion in...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…