Rais Ruto ailaani Urusi kwa kuishambulia Ukraine!!

Rais Ruto ailaani Urusi kwa kuishambulia Ukraine!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Huyu Zakayo wa Kalenjin baada ya kupata mbolea ya bure kutoka wahisani wa Urusi sasa ameanza tena kuilaani Urusi!! Cheki alichokiandika[emoji1313]

Russia's aggression against Ukraine is unlawful, unjust and a violation of the fundamental principles of international law.

As we embark on the collective effort to resolve the conflict in Ukraine — and throughout the world — it is time for parties to the war to demonstrate good faith, abandon intransigent attitudes and soften their positions for lasting peace to be realised.

Joined other world leaders for the Summit on Peace in Ukraine, Bürgenstock, Switzerland.
20240616_171033.jpg
20240616_171041.jpg
 
Chawa nao wana level tofauti..., Karne hii hatuna watu wenye misimamo wala huwezi kujua wanasimamia nini zaidi ya matumbo yao in short ni flip floppers kesho wanaweza kuja na hadithi nyingine
 
Kwahiyo akishasimama na mashoga anaona keshapatia sana
20240616_171033.jpg
 
Hapo ni kwamba Bwana Ruto anawashobokea Marekani hivyo ndio maana ana nguvu za kubwabwaja namna hiyo. Remove Americans on the picture and the Kalenjin will bow down to Master Putin!!
 
Back
Top Bottom